Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Mar 6, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  This is craap @maturity.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Maandamano?polisi na mabomu yao wako wapi kutawanya maandamano??
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  njaa mbaya
  namwona shangazi yangu naye yupo kwenye msafara wakati anasifia maisha bora wakati watoto tunamlelea
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ndio uone jinsi watu wengine walivyo!!wameshakunywa maji ya bendera,wanaogopa!!Watoto anasomeshewa lakini kura atawapa hao hao walioshindwa kumuwezesha ili asomeshe watoto wake!!
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Endelea kutujulisha mkuu .
   
 7. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  malori je hakuna? kuna wanachuo wa makumira hapo! alafu wanapitia barabara gani ? ninayoijua ni hii kuu tunayopita tukirudi moshi au kuna nyingine!
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wameanza kampeni kabla ya muda.
   
 9. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Tupia picha
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Weka picha mkuu .
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Pilau lipo?
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,471
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Isije kuwa SIOI ndio anaenda KUOA.........:lol::eyebrows::embarassed2:
   
 13. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Anachakachua kwanza picha ndio aweke maccm bwana.
   
 14. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  kisaa kya nii moose kuchu!!!!!kwa mtaji huo lazima CHADEMA waibuke kidedea mimi nilifikiri NEC ina nguvu kuliko EL!
   
 15. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yule mwenye sharubu kiongozi wao yupo mwenye kisauti yupo?
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hongereni kwa kufanya maandamano yasiyo rasmi na kwa kuwa tunajua kuwa Polisi ndio wanachama wenu hivyo hakuna atakayeguswa.
  Kachukueni kwa amani tumalize kazi kwa kulichukua jimbo ambalo limekuwa kama la familia ya watu fulani.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hivi taarifa za kiintelijensia siku hizi hakuna tena? radio imeisha betrii?
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  yeah barabara ya moshi,2najipanga.
   
 19. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  teh teh magamba bhana,tangu lini wameanza kuandamana?? Hii inatupa picha halis kuwa polic wapo wa ccm tu na sio wa watz wote,si watawanye hayo maandamano!!
   
 20. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Vp mapicha mkuu ?
   
Loading...