Picha: Kikwete hiki ni KIBURI na DHARAU kwa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Kikwete hiki ni KIBURI na DHARAU kwa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGI MASTA, Mar 7, 2012.

 1. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kupitia magazeti hapa na pale nikakutana nakauli iliyotolewa na CUF kumtaka KIKWETE kuvunja baraza la mawaziri kwa uozo lililonao.Mwananchi 16/february,2012.juzi chadema nao wakarudia waliyosema CUF.sasa kwanni JK asiitikie wito wa watanzania hawa badala yake anaendelea kutotii.Hii si dharau kwa watanzania waliowengi?
  KIKWETE VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI 001.jpg
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  CUF si ndo waliolewa na CCM juzikati? Sasa wamechoka ndoa wanataka uke wenza? Makubwaaaa madogo yana nafuu
   
 3. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na hebu nikumbushe ndoa ya CHADEMA na David Cameroon inaendeleaje?
   
Loading...