Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KAMANDA HANGA, Mar 6, 2012.

 1. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao wakionyesha alama ya vidole viwili kama ishara ya kuonyesha kwamba wao mapenzi yao yako kwa chadema.
  Saurce: Wapo Radio.
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili litakuwa ni fundisho! kuchukua form sio lazima maandamano. Hali ikiwa hivyo basi naona Magamba mambo si shwari!
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huo ni mwanzo tu. Wananchi wameonyesha nia yapo ilipo.
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Na bado kichapo tarehe moja!
   
 5. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zinaeleza msafara ulipambwa na pikipiki na magari binafsi lakini wakazi wa maeneo ya barabara walijikusanya na kuzomea kwa nguvu kwa kuonyesha vidole viwili mpaka nyimbo za msafara zikawa zimefunikwa kabisa na sauti za kejeri na zomea zomea ya wananchi. People's power kweli imedhihirika.
   
 6. m

  mashimbamang'oma Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hojaaa... Leo nilikuwa maeneo ya Usa na leganga wakati msafara huo ukipita... magamba walizomewa mbaya.... Mpaka waliokuwa kwenye msafara ule waliokuwa wanaonyesha vidole viwili juu wakionyesha ya kuwa hata wao ni wafuasi wa chadema ila hela ndio ziliwafanya wawe vile.. Walikuwa wamepewa elfu 20 kwa kila mmoja.... Magamba kazi wanayo....
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  hizo ni rasha rasha mvua za masika ndo zinajiandaa kunyesha.
   
 8. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni hatua nzuri katika ukombozi wa taifa letu.
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona polisi hawajayazuia hayo maandamano,ina maana wakiandamana ma.gamba hakuna alishabaab na habari za kiintelejensia?
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hakika kwa sasa kuwa shabiki wa CCM lazima ziwe zimefyatuka kidogo.
   
 12. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  waliokuwa wanazomea wana kadi za kupiga kura?
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Umeambiwa source ni Wapo redio walaumu wao si mleta mada.
   
 14. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu habari za kiintelijensia zilionyesha kuwa ni maandamano ya amani!!!!!!
   
 15. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala hatubishani kwa jambo lenye ushahidi. Taarifa imetolewa na chombo cha habari kilicho hudhria kwa nia ya kutuhabarisha ambao htukuwepo, na saurce yenyewe nimetoa. Vilevile baadhi ya wachangia mada wamekuwepo kwenye tukio. Sasa wewe unaficha haibu ya nini? Sema umekula ruzuku uandamane lakini imekutokea puani kwa kuzomewa. Habari ndo hiyo!!!
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye red, Kutamka haya maneno inahitaji kuwa na roho ngumu kama ya paka!!
   
 17. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walio andamana je wanazo?
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu.Hizo ni rasharasha za Masika bado.Jamani nimefurahi mpaka nimekuwa kama nawashwa mwili mzima.
   
 19. p

  pstar01884 Senior Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nape ameshindwa kuondoa magamba ndani ya chama sasa ngoja Nguvu ya Umma iyatoe magamba na miti afu tunaupaka chumvi ili gamba lisiote tena, na hatimae kukauka. Ccm ni mti, ukitolewa magamba utakufa. Vita ya Nape imekuwa ngumu coz gamba liko kwny mfumo uliompa ulaji.
   
 20. h

  hans79 JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  akileta ushahid utakimbia ndo zenu kuwa kama kinyonga hakuna wasowafahamu,swali jibu lenu hamjui. kujivua gamba wimbo hauna ubora, kaletewa picha za zitto (tanga )mwenza wako kala kona, kwa ubish wa nyegere aka mzee wa wivu mnaweza mengineyo mfu kabisa kila pahala migomo.pande tu ila mtakacho vuna kuwen na subira msifunge macho tu.CHADEMA-vijana taifa la leo.
   
Loading...