Live ya VIDEO Coverage Uchaguzi Mdogo Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live ya VIDEO Coverage Uchaguzi Mdogo Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mathias Byabato, Mar 7, 2012.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Naomba kwanza usome maelezo yote kabla ya kuchangia lolote!

  Kutokana na mabadiliko ya technlojia kwa sasa 2012 tungependa kuona kila jambo linaloendana na TECH linafanyika au likishindikana basi tuulizane ni kwa nini.(mimi natoa suruhisho ili tupate LIVE COVEAGE ya VIDEO via internet kwa STREAMING) ni jambo la kawaida sana lakini halifanyiki hapa Bongo.,Television ya CITIZEN ya Kenya inafanya sana hii kitu.licha ya kuwa ubora wa picha si mzuri sana lakini message inafika kwa wakati.

  Sasa hivi karibuni utafanyika uchaguzi mdogo huko ARUMERU lakini chaguzi zilizopita tulishindwa kupata Matukio yanayotendeka kwenye internet.

  Ningependa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huu kutuonesha BAADHI ya matukio live badala ya kutegemea taarifa ambazo baadhi yake huwa ni uongo.

  Napenda hapa tushirikishe sana wataalam wa ICT kupitia jukwaa la TECHNLOJIA ili watoe mchango wao.

  TUFANYEJE.
  1.Vitengo vya Habari vya vyama husika,wawe tayari kufanya nitakayoeleza au zaidi ya hayo
  2.Sisi watazamaji tutaweza kupata matukio yote au baadhi yake kwa kutumia internet hivyo itaondoa minongono,urasimu katika kupata habari nk.

  MAHITAJI
  1.Laptop yenye Webcam(au video kamera) hapa ni vema kuwa na laptop yenye webcam kwa kuwa inasaidia wakati wa kuhamisha hiyo kamera ya kwenye laptop.
  2.Utatakiwa kuwa na MODERM ambayo ina speed nzuri mfano ZANTEL,VODACOM au TIGO lakini kutokana na upatikanaji wa mitandao kwa maeneo husika hata AIRTEL inaweza kufaaa.Hapa itatakiwa japo kujiunga kifurishi cha kuanzia 2GB kwa kwenda live about 1hr -2hr


  3.Utatumia livestrem.com hii ni nzuri sana kwa sasa (kwa sababu hii watu wanaweza kuwa wana-comment wakati wa LIVE) a kuliko hizi nyingine skype au camstrem kwani ziko nyingi.Pia uzuri wa hii livestream inarekodi yenyewe kila kitu automatic kwenye mtandaso hivyo hata baada ya live utapata matukio yote hayo.

  4.Ukingia katika hiyo live strem utajisari na kupata account hivyo utakuwa na USERNAME na password yako.
  5..Uta-download LIVESTREM PROCASTER(naweza kuwapatia direct download) ambayo hii uta-istall kwenye laptop yako.ukiifungua itakutaka uingize USERNAME na password yako.lakini lazima uwe tayari umwkwisha-connect interenet ikifungua basi itakuonesha ubao kuwa uko LIVE hivyo lolote litalokuwa lifanyika litaweza kuonwa na kusiKILIZWA na yeyote kupitia www.livestream.com/ usernameyako

  Tunaweza kuboresha hii kitu, kwa maoni ya wadau.
  Lakini jukwaa la tecnlojia linao wajuzi saaaaaana juu yah ii kitu,lakini kwa kuwa mimi nimekwisha ifanyia kazi mara kwa mara naweza kutoa ushauri au mwenye bandwih ya kutosha ani-PM ili nimpe username yangu ili niweza kuongea naye LIVE

  LOLOTE linawezekana,Tukiwa na nia.

  M.Byabato
  Mach 7,2012
   
 2. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CHADEMA changamkia hii kitu,kuna jamaa aliwahi kueleza hii wakati wa IGUNGA sasa tusifanye mzaa

  MAKENE Changamka acha kulala,mambo ya youtube hakuna,mengine yanachakachuliwa.

  asante mdau
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  so ili iwekwe jf hata wasio na username waone haiwezekani?
   
 4. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Pengine hukosa maelezo yangu au hukunielewa mkuu!

  ni kwamba username niliyonsyo mimi ni Official use,so hao wa vyama watakaofungua hizo account zitakuwa puplic kila mtu ataona lakini ukipenda kuona kupitia kwangu wewe ni PM tu nikunganishe mkuu

  asante
   
 5. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wazo zuri kaka, wahusika walifanyie kazi
   
Loading...