Mgomo mwingine wa madactari Tanzania waanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mwingine wa madactari Tanzania waanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibakwe, Mar 7, 2012.

 1. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Rais wa chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo wa Madaktari usio na ukomo, kote nchini Tanzania.

  Mgomo huo unaishinikiza Serikali kuwafukuza kazi Waziri wa Afya Dkt. Hadji Mponda na Naibu Wake Dkt. Lucy Nkya ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya maazimio ya mkutano wao uliofanyika mwezi Februari, 2012 katika ukumbi wa CPL, Muhimbili na Serikali, ikiongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.


  [​IMG]


  Source: wavuti.com* - Blogu
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Mungu ndiye mwamuzi!!!! Hukumu ya kuua!!!!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwanini Serikali ya Jk inalazimisha wagonjwa wakapange foleni Samunge? Jk ana Maslahi gani na babu wa Loliondo?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani kuna viongozi wetu wako na miadi na waganga wa kienyeji kutoa kafala watz watakaokufa kutokana na huu mgomo
   
Loading...