Hali ni mbaya sana katika Hospitali zetu baada ya kugundulika vifaa vya kupima VVU havitoi majibu sahihi. Akina mama wanajifungua bila kupima hivyo usalama wa watoto wanaozaliwa haujulikani...
Wakuu heshima mbele,
Kama mnavyo fahamu kuna uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Kirumba jijini Mwanza kufuatia kifo cha diwani Novatus Manoko(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.CCM wanafanya kila...
Wale wajuzaji wetu wa kampeni za Udiwani kwa upande wa CDM tafadhali tujuze ufunguzi ni lini, kiwanja gani saa ngapi ili sisi wapenzi tuhudhulie kufanya tathmini kwa kumpima mgombea with his...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kilimanjaro kimevunja ngome ya Chadema katika Kata ya Mji Mpya katika Manispaa ya Moshi, baada ya kuvuna wanachama 75 akiwemo Katibu Mwenezi wa kata hiyo, Ludy...
Watu wamechoka na chaguo la Mungu?
Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
KWA muda wa wiki moja sasa, Rais Jakaya Kikwete yupo mkoani Mbeya akiendelea na ziara yake ya siku 10...
CCM, Chadema youth nearly fight
Wednesday, 07 March 2012 22:24
By The Citizen Correspondent
Arumeru.
The presence of three opposition MPs at a funeral at Migungani, Mbuguni Ward in...
Baadhi ya madaktari ambao wapo kwenye mgomo wanafanya mahojiano katika katika radio ya East Africa kipindi cha Super mix kinachoongozwa na Zembwela muda huu.Kwa mwenye nafasi afungue hiyo radio...
Wana CDM ungependa majina yapi kutoka chama cha CHADEMA waingie kwenye mchakato wa kurekebisha katiba.
Mi ningeanza na
1:J.Mnyika
2:T.Lisu na
3:V.nyerere
Kwa hali yoyote ili chama kihesabike kinakua ni pale kinapoongeza wanachama wapya hasa vijana kwa maana vijana ndio watakuja kushika uongozi baadaye.
Kwa hali ilivyo kwa chama chetu tawala mambo...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa jana, ni wazi kwamba madaktari wametangaza rasmi kuanza mgomo leo na hata hapa Mwanza katika hospitali ya BUGANDO tayari matangazo...
kila mtu na kila kundi linastahili kuthaminiwa na kutambuliwa kwa usawa. Hii mambo ya siku ya wanawake, watoto, walemavu, kansa etc sijui mantiki yake hasa ni nini zaidi ya kuhalalisha matumizi ya...
Ni TBC news ya Saa 10 alasiri, Waziri mkuu amesema wanasubiri waone kinachoendelea na wamejiandaa vema kukabiliana na hali itakayotokea.
Wanasema misimamo kama serikali na baadae wanakaa tena...
Tumekuwa tukishuhudia matumizi mengi yasiyo na lazima yakiwamo ya safari za nje za rais, huku Serikali ikiwa inashindwa kugharamia sekta muhimu ikiwapo kuwalipa mishahara yenye hadhi stahiki...
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania
Ahlan wana Bodi
Mwenyekiti wa UWT. Bibi Sophia Simba amesema sababu kuu za UWT kuomba viti maalumu Bungeni ni kwamba wanawake hawawezi fitina za siasa, ubaguzi wa kijinsia na pia hawana...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na umakini wa viongozi wake katika kuhakikisha kwamba vijana ni nguvu mabadiliko na wanauwezo wakuongoza na kulinda rasilimali za chama na mgawanyo wa...
Waziri wa Afya(Dr, Mponda) na Naibu wake(Nkya) ebu kaa pembeni kwani nyie ndo mmeonekana kuwa kikwazo kwa maDaktari. kuendelea kung'ang'ania nafasi hizo ni adhabu kwa wananchi:
ni dhahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.