Kashfa nyingine wizara ya Afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa nyingine wizara ya Afya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Mar 7, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona itv wanafunzi wa muhimbili wakiwa wizarani kwa Mkurugenzi kwa madai ya kulazwa njaa kwa siku saba. Mungu wa hivi wizara ya Afya ina bundi gani? au cdm imezuia chakula?
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tayari Kuna Thread kuhusiana na hii issue.
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  CDM???? nani anamiliki dola!!, au ndo kujikana kunaanza?
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sasa imeshafikia kuilazimisha serikali itoe huduma kwa kuandamana basi taifa letu lishaangamia,
   
Loading...