Maandamano makubwa jijini Arusha dhidi ya serikali

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Tunavyozungumza wananchi wa kata za moshono na mlangarini wapatao 5000 Wanaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa arusha kufuatia kunyanga'nywa ardhi yao na JWTZ bila fidia kama walivyoafikiana awali.polisi hawana taarifa ila ndo wanatamalaki kufunga mandela road moshono kuelekea kijenge..updates
 
Mkuu hivi unajua maandamano? makubwa halafu ili neno Breaking News linatumika vibaya.
 
Ritz maandamano makubwa kwako ni watu wangapi? watu 5000 is a very big number to me? Watu hawa wanaweza kabisa kufunga barabara kuu za mji wa Arusha.Tunachoweza ni kumwomba mtoa mada aendelee kutupa taarifa zaidi juu ya maandamano hayo.
 
Mkuu wa wila ya na mkurugenzi wa jiji wamejitahidi kuzungumza nao ila wameona hawana jipya,maandamano yamefika masai camp ila kwa mbali naona wanaintelijensia
 
Mkuu hivi unajua maandamano? makubwa halafu ili neno Breaking News linatumika vibaya.
Maandamano makubwa, idadi ni watu 5000, tena wa kata 2 tu kwenye jiji lenye zaidi ya wananchi milion 3
 
Jeshi la Watanzania linang'ang'ania/iba ardhi isiyo yao, na serikali inakaa kimya. This is stupid. hiyo kambi ya jeshi iliingia hapo mwaka 1977 .Sasa wanawezaje kuwafukuza wananchi waliowakuta na kuwakaribisha. Waende Monduli kwenye makambi yao na sio kujichukulia sheria mkononi kuwahujumu wale wanopaswa kuwalinda.
 
Wananchi wa maeneo ya moshono na wananchi wanaozunguka kambi ya jeshi moshono wanawake kwa wanaume,watoto kwa wazee,wameamua kingia barabarani kwenda kwa mkuu wa mkoa kupinga kitendo cha jeshi JWTZ,kupora maeneo yao ya kulimia kibabe,wamekua wakitafuta njia mbalimbali za mwafaka bia mafanikio kwani kila kiongozi wa serikali aliyekua akifwatwa alikua akiwapiga danadana bila kuwapa majibu.picha nitaweka badae.
 
Mbona ni Arusha moshono itu cha namna hiyo>?
 
Mkuu hivi unajua maandamano? makubwa halafu ili neno Breaking News linatumika vibaya.
Usimpige mawe TAKE UCHI.........wa kwenu huyo!!!
ndo anayempooza Mwigulu kwa sasa wakiwa Arusha!!
 
Polisi wamewashauri wakae suye rc aje kuzungumza nao wamekataa,ila naskia wanainteligensia wamepiga kambi kijenge
 
mtoa taarifa tupo pamoja endelea kutujuza yanayojiri kwa sasa na weka picha walau tuone.
 
Back
Top Bottom