Dr. Mponda na Lucy Nkya wanahitaji ushauri nasaha..tupia hapa bila kukosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mponda na Lucy Nkya wanahitaji ushauri nasaha..tupia hapa bila kukosa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Mar 7, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ....Kwa wale wanaoamini katika Mungu..yaani waislamu na wakristo watakubaliana nami kuwa Mungu hakubaliani na watu wanakandamiza haki za watu wengine hasa maskini...kwa wale wakristo kama mimi wataweza kukubaliana nami kuwa kuna maandiko mengi sana hasa ya agano la kale yanayotuonya kutokandamiza haki za wengine hasa maskini.

  Nadhani itakuwa vivyo hivyo kwa waislamu.Nadhani hawa mawaziri wawili wakubaliana kuwa damu na machozi ya watanzania yanayomwagika yanawalilia wao...

  Na hii ni kwasababu madaktari wanatafuta haki yao iliyokandamizwa kwa muda mrefu..na hawa mawaziri wanang'ang'ania kukaa kwenye viti ambavyo damu za watu maskini zinawalilia nje.

  Nadhani tunapasa kuwapa ushauri nasaha hawa watu ili wachukue maamuzi yaliyokaa vizuri.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama wanajali maisha ya watanzania masikini kwa moyo wao wote, wajiuzulu haraka iwezekanavyo! Wasiwe wabinafsi na kujijali wao zaidi.
   
 3. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mcha Mungu yeyote nadhani sauti ndani ya nafsi yake ingemuongoza juu ya hili!! Kama hawa Mawaziri wanaroho wa Mungu nadhani wanapashwa kupisha hii wizara ili kuokoa maisha ya watu, haijalishi kama mkuu wao kawakatalia, lakini watakuwa wameponya nafsi zao!! "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"
   
 4. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hawa wanatakiwa kujiuzulu au kikwete awaondoe
  wangekua ni watu ambao wanaelewa siasa wangeshasoma
  alama za nyakati na kujiuzulu ila sijui kwa nini maamuzi magumu hayachukuliwi
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kwa hapa tulipofika jiwe la lawama linatakiwa apigwe nalo mtu mmoja tu!

  The one and only his almight JK....

  Staili yake ya kujificha nyuma ya misalaba ya wengine hapa haitamsaidia tena.

  Tuwaache mawaziri tena, aliyebaki ni hiki kijamaa.
   
 6. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Inawezekana wameshamwandikia Rais kuomba wajiuzulu lkn Mkuu wa Nchi ameamua kutowakubalia. Kama ndivyo basi waitishe mkutano na waandishi wa na wautangazie umma kwamba wameamua kuachia ngazi kwa manufaa ya taifa na watanzania kwa ujumla!
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  wangelimuuliza Mzee Mwinyi angeliwapa ushauri mzuri bali tatizo la hawa wenzetu wanaangalia ya leo tu, hawajui hata ya kesho achilia mbali miaka kumi ijayo.

  Tunaelewa kuwa wametumia gharama kubwa sana kupata hizo nafasi na inawezekana hawajarudisha hata robo ya ghrama kulingana na mporomoko wa uchumi lakini maisha yanabadilika. Aidha wakubali kuwa kama walikula kiapo cha uongo ili kulinda maslahi yao basi imekula kwao.

  Ni bora wakubali tu na kubadilisha kiapo ili kiwe cha kulinda masilahi ya Watanzania then wajiuzulu, mbali na hapo 'wataharibia' hata wengine.

   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  JK anakuwa mzito sababu ya undungu na Haji wameweka undugu naizesheni mbele badala ya utaifa mbele, haji mponda he is nothing to lose kwani miradi mingi ya hospital amepeleka kwenye hospital yake bagamoyo, hata tunavyopiga kelele watoke ni sawa na kelele za chura.

  madaktari wanavyowangangania watoke ni sababu mojawapo hiyo madawa mengi ya serikali pamoja na vifaa amepeleka kwenye hospital yake na ile ya blandina.
   
 9. S

  Shembago JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Lucy Nkya,Jimbo la Morogoro Kusini mashariki limechoka kujiuzulu kwako itakufanya anagalau upate asilimia 22.5% za kufuta machozi 2015 maana umeshalipoteza tayari kwa CDM
   
 10. MANI

  MANI Platinum Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Hakika kabisa !
   
 11. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwani hao akina haji na lucy wana muda gani pale wizarani? hao watakaokuja ni malaika kutoka mbinguni?
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  I hate them.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi unaweza kaa meza moja kudiscuss jambo na mtu ambaye amewai kukuambia NANI ALIKUAMBIA UWE DR?
  Give me a break,kwa imani za dini zenu ni vyema mkajiuzuru kama mna hofu ya mola juu ya viumbe vyake wanaokufa kwa ajili yenu
   
Loading...