MGOMO huu ni mwisho wa JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MGOMO huu ni mwisho wa JK?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dangire, Mar 7, 2012.

 1. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mgomo wa madaktari ni zaidi ya migomo ya kada zingine zote. inahusu uhai wa watu eti! mwalimu akigoma.....wanafunzi hawatapoteza maisha, wafanyakazi wengine wakigoma, wataathiri uchumi wa nchi hii. lakini kesi ya madaktari ni kitu kingine kabisa. kila siku wagonjwa hawakosekani, na makimbilio yao siku zote ni kwa wataalamu wetu hawa matabibu (ukiachia wale wanaokwenda kwa wataalamu ya kienyeji, ambao kwa sasa si wengi sana). wanapogoma ina maana kwamba mgonjwa huyu akifika hospitali atakutana na kufuli mlangoni, wafanya usafi, walinzi, nk. badala ya madaktari, wauguzi, madawa, nk.

  Matokeo ya mgomo wa madaktari una athari ya moja kwa moja kwa uhai wa binadamu. ndio kwa sababu hii ninajiuliza endapo mwisho wa JK kukaa madarakani utakuwa umefikia mwisho. watanzania hawa waliojaa sifa za upole (japokuwa zinatumiwa vibaya na watawala wetu) , je watabaki hivyo hivyo huku wakijiona wanavoyangamia kwa kukosa waganga? endapo madaktari wataanza (wameanza) kweli "mgomo usio na kikomo", ni mtanzania gani ambaye hataguswa ama moja kwa moja au kwa jirani yake na athari za mgomo huu? uvumilivu wa watanzania kwa watawala wao utaendelea hata kufa? na hapa ndipo ninapoiona dhana ya mapinduzi wazi wazi.................
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ilitakiwa iwe hivyo, kama tukivua hofu na ubinafsi, kabisa jk tunamng'oa kwa maslahi ya taifa..DR. Slaa pliiz tangaza maandamano vijana tayari damu imechemka
   
 3. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tanzania bila migomo na maandamano hatuendelei
   
 4. S

  Silent Burner Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mwisho wa kiburi na ulafi wa madaktari vilaza.
   
 5. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  CHADEMA, NGOs Tangazeni maandamano, tusiwaachie madaktari na wanaharakati peke yao. Suala hili ni la Watanzania wote!
   
 6. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi ni laana ya Mwalimu Nyerere kwa JK. Natamani ingekuwa mwisho wa serikali hii.
   
 7. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu JK mngejua wala hatishiki na anajua anakula bata la mwisho
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  madhara ya kufikiria kwa kutumia chadema ndo haya. unafikiria kumn'goa kikwete tu. poor.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa mawazo yako finyu unafikiri hata kikwete akin'goka leo slaa atakuwa rais. poor thinker.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  CCM mna hazina kubwa sana ya viongozi for sure akitoka kikwete Prof Maji Marefu aka Ngonyani ndo atachukua urais
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwisho wake utaonekana endapo wananchi tutakuwa nyuma ya madaktari na kuandamana kwakukosa huduma muhimu kama afya ambayo itamshinikiza kuachia madaraka kwakushindwa kutimiza wajibu wake huo
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maandamano si lazima yatangazwe na dr. Slaa bali ni sisi raia wa Tz hasa vijana kutokubaliana na unyanyasaji kama huu na kujiorganize wenyewe na kuingia barabarani ili kuinusuru nchi yetu
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yasiwe maandamano na migomo isiyokuwa na tija kama yale walimu ya kutisha na kukaa kimya nakuja kuwakomoa wadogo na wanetu kwakutowafundisha ipasavyo hali inayosababisha wafeli kwa kiwango kikubwa (kuendesha mgomo baridi)
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huna hata chembe ya aibu hivi kati ya madaktari na hawa madaktari uchwara nani mlafi?
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hapo ndio umetumia the best part of your brain..doubt got shits in ur head i guess..JK Atakuwa rais wako milele
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani ccm, cuf, nccr hawazi kuanzisha maandamano? au wananchi wenyewe mpaka iwe cdm alafu baadae mkaseme wao ndo wapo nyuma ya madaktari? Maana hapa ni 7bu tu inatafutwa
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Me too
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Iko siku itafika atatishika tu kwani hata Iddiamini Dada hakutishika ila mwosho wa siku alitishika na akakimbia mwendo ambao hata mwanariadha yeyote duniani hajawahi kukimbia, mfano mwingine ni Gadafi kabla ya hapo mtu angemwambia angekuja kujificha kama siyo kuishi kwenye bomba la maji machafu pamoja na kiburi chake chote cha kuwaita wananchi wake mapanya ila mwisho wa siku alitishika
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  No matter awe yeyote asiyetokea ccm atakaekuwa teyari kututumikia wananchi wake na kukemea maovu yanayofanywa na viongozi
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo kakutuma uje kumpigia promo hapa baada ya lowasa kuona hakuna wakumsapoti humu?
   
Loading...