Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?
Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais...
Taarifa ya habari tbc1, yadaiwa wako 80 ni mawaziri, makatibu, wabunge nk. Yadaiwa walidanganya mali zao. Majina kumi ya mwanzo yametajwa kwa mtiririko huu;
1. Anna Tibaijuka
2. Omary Nundu
3...
Leo ningependa kufanya tafakuri kuhusu wimbo wa Taifa na umuhimu wake katika kujenga Taifa na uzalendo wa watu.
Tukiwa Tayari tumeisha organize jamii na kuiweka mifumo yake sawia ambayo kazi yake...
Habari wan JF! Nimependa kuchukua fursa hii kukishauri chama chetu makini CDM ambacho ni tegemeo letu na tumaini letu jipya kwa sisi wanyonge, Mchango wa CDM ktk kuisimamia serikali ni mkubwa sana...
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka...
wakuu naweka hii thread ili wale wote walioko kwenye eneo la tukio watupe updates za kikao cha majadiliano kati ya waziri mkuu na madaktari walio kwenye mgomo.nimepata habari hivi punde kuwa mh...
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na...
, March 05, 2012
President Jakaya Mrisho Kikwete presents General Mirisho Sam Hagai Sarakikya, the country's top climber who at 78 years of age has scaled to the roof of Africa 38...
Naamini u mzima, na najua huwa unapita hapa kama baadhi ya watendaji wako wanavyopita kwa majina bandia.
Mgomo wa madraktari ndo ushatangazwa naamini mkuu utaweka siasa na kiburi chako pembeni...
Kwa kuwa Dr Slaa ni mwanasheria na ndo aliyepeperusha bendera ya Chadema 2010 akinadi kuwa mchakato wa katiba mpya utaanza ndani ya siku chache baada ya kuingia madarakani. Napendekeza Dr Slaa...
(1) Poleni sana poleni, poleni tena nasema
Nasema tena poleni, kifo cha dada Mtema
Hiki ni kitu kigeni, naona kama sinema
Mrimu wa Herakuli, namlilia Mtema.
(2) Namlilia Mtema, wa Herakuli Mrimu...
Legal and Human Rights Centre
Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari...
Kuhusu bajeti ya uchanguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Mnyika alisema chama kimeamua kuwa kampeni za uchaguzi huo ziendeshwe kwa nguvu ya umma bila kutegemea ruzuku za chama...
JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz...
Kufuatia kikao cha madaktari kilichoazimia kuendelea na mgomo waliousitisha ifikapo jumatano (7/03/2012) kwa kutotekelezwa baadhi ya makubalionao walioafikiana na serikali chini ya Waziri mkuu...
Alimashauri ya wilaya monduli miaka mitatu ilipita walitenga eneo la viwanja kwa wakazi wa kata ya mondumjini,baada ya wakazi wachache kukosa viwanja kwenye eneo la awali lililotwengwa,eneo la...
Madaktari ndio hao wanatangaza mgomo,serikali nayoongozwa na CCM inashindwa kuwalipa na kuwasikiliza madaktari.Je ni bajeti kiasi gani itatumika ktk uchaguzi mdogo arumeru?na kama mwajiamini...
Fredy Azzah
BAADA ya miaka 29 ya kuwa bungeni na 17 ya kuwa Mbunge wa Njombe Kusini, Spika Anne Makinda amesema sasa inatosha.
Makinda amewaomba wananchi wa Jimbo la Njombe Kusini hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.