Makinda ulitoa wapi hizi takwimu!

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Ahlan wana Bodi
Mwenyekiti wa UWT. Bibi Sophia Simba amesema sababu kuu za UWT kuomba viti maalumu Bungeni ni kwamba wanawake hawawezi fitina za siasa, ubaguzi wa kijinsia na pia hawana fedha. Lakini akasema pia kuwa ukomo wa ubunge wa viti maalumu ni miaka 10 tu kwa sasa kwani miaka hiyo kumi mwanamke kama ni mbunge atakuwa na fedha za kutosha, ameshajifunza fitna kutoka kwa wabunge wenzake hivyo atakuwa ni mtayari kwenda front line kwa ajili ya kupigania majimbo. Ameponda kauli ya MH SPIKA Anna makinda kuwa ubunge ni Umaskini mtupi nusu ya wabunge wataacha ubunge ifikapo 2015.
SOURCE: TBC kipindi cha Jambo Tanzania 08/03/2012 saa moja kasorobo asubuhi
 
Hiki chama kimepoteza mwelekeo, kauli za kupingana ndo imekuwa utamaduni wao. Na huyu speaker wa bunge cheo hicho kimempwaya sana. YETU MACHO NA MASIKIO.
 
Back
Top Bottom