Re: Siku ya Wanawake duniani: Tanzania tumepiga hatua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Siku ya Wanawake duniani: Tanzania tumepiga hatua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwabaluhi, Mar 8, 2012.

 1. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kila mtu na kila kundi linastahili kuthaminiwa na kutambuliwa kwa usawa. Hii mambo ya siku ya wanawake, watoto, walemavu, kansa etc sijui mantiki yake hasa ni nini zaidi ya kuhalalisha matumizi ya kibajeti kwa taasisi husika. Turudi tu kwenye msingi kuwa binadamu wote ni sawa.
   
Loading...