Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wagombea wanane wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki jana waliteuliwa kuwakilisha vyama vyao. Wagombea hao ni Siyoi Sumari (CCM), Joshua Nassari (Chadema), Shabani Kirita (SAU)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nayasema haya nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa kwa hiki ambacho madaktari wanachoendelea kututendea waTanzania! kuna machache wacha niyaseme ili moyo wangu utulie! 1. kama sikosei...
8 Reactions
98 Replies
8K Views
Wakuu kuuliza si ujinga,hivi chadema huwa inawapataje wagombea urais kwa tiketi ya chama hicho?Hapa namaanisha mgombea urais na mwenza wake maana kwa mujibu wa katiba yetu rais hagombei peke yake...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Quality Group Yusuf Manji, amesema maombi ya kampuni yake kutaka kuingia ubia na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) kwa gharama ya sh bilioni 1.5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Kirumba jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kufuatia kifo cha diwani NOVATUS MANOKO(CHADEMA)aliyefariki mwaka jana.Siku ni keshokutwa saa nane mchana kwenye viwanja vya Magomeni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sifa moja ya magaidi ni kutishia na ikiwezekana kutoa roho za binadamu wasio na hatia ili kutimiziwa malengo yao. Madaktari kuamua kugoma na roho za watu zipotee ili matakwa yao yatimizwe ni...
3 Reactions
133 Replies
10K Views
Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nihapa Kirumba jijini Mwanza lilikuwa likiwatangazia watu wahudhurie uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani kupitia CCM kesho kutwa katika viwanja vya Magomen.Baada ya kupita mitaa ya Mwaloni raia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa jinsi hali ya nchi kiutawala na kimaendeleo inavyokwenda,nionavyo twendako ni giza tupu ,sasa nikifikiria ile hali ya wazee wetu wa zamani ,tuseme baada ya kipindi cha utumwa ambapo bado...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Damu ya kuongeza wagonjwa mahututi inauzwa ingawa kanuni ya tiba inakataza kufanya hivyo kwani hata wanaojitolea damu hawauzi damu yao kwa hospitali husika. Benki ya damu ni kwa ajili ya dharura...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Kikatiba Ukomo wa wakuu wa mikoa na wilaya ni miaka mitano. Baada ya hapo uteuzi unatakiwa kufanyika tena. Mpaka sasa miaka miwili imepita Rais hajateua wakuu wa wilaya. Tatizo nini? Hapo si...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tunapoendelea kusubiri hatma ya mgomo hebu tuangalie huduma binafsi especialy hawa jamaa wa aghakhan. hawa jamaa ni wezi. haiwezekana kumtoa mtoto tumboni jamaa wanachukua milioni 3. kwa huduma...
2 Reactions
0 Replies
948 Views
Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni Lameck Airo mbunge wa Rorya kupitia CCM ametoa milioni 60 kuhakikisha CCM inashinda kiti cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Zinatumika kwa rushwa na kununua shahada za kupigia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo nimeona magari kibao ya FFU mengi yakiwa na askari kibao yakitokea njia ya Mbauda hapa Arusha nilipouliza kuna rafiki yangu kaniambia wanafanya zoezi kwa ajili ya Arumeru mashariki kwa walio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mganga Mkuu wa Tanzania (Chief Medical Officer) Dr. Deo Mtasiwa amedaiwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya nchini kwa kushindwa kutoa maagizo ya kuondolewa kwa vifaa vya kupimia virusi vya...
5 Reactions
95 Replies
14K Views
Nasikia nassari amefunika vibaya...watu wamejitoa sana kumsapot kijana wetu,wakati wa kurudisha form,,tunaomba mtupe picha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania imo katika kushuhudia mgomo wa madaktari Awamu ya Pili. Katika awamu ya kwanza Serikali iliingia kwa gia ya ukali na kuchukua sheria kuwa dhibiti madaktari lakini baadaye kupitia Waziri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Mwenye habari zenye uthibitisho kuhusu maamuzi au kauli ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari atuUpdate
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Back
Top Bottom