Mgomo wa madaktari-ushauri wangu kwa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari-ushauri wangu kwa serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa jana, ni wazi kwamba madaktari wametangaza rasmi kuanza mgomo leo na hata hapa Mwanza katika hospitali ya BUGANDO tayari matangazo yamebandikwa kuarifu kuanza rasmi kwa mgomo huo.
  Ushauri wangu kwa Serikali:

  1. Ulinzi uimarishwe katika hospitali zote na Madaktari wasiruhusiwe tena kufika maeneo hayo kwa vile siyo watumishi kwa wakati huo na kama ni vikao watafute maeneo mengine.
  2. Dispensari zote binafsi zinazomilikiwa na Madaktari waliogoma zifungwe Kwa vile Madaktari wengi walio na dispensari hizo wamekuwa wakitumia vifaa, madawa na raslimali za walipa kodi katika dispensari hizo.
  3. Takukuru wasambazwe katika Hospitali zote ambazo kuna mgomo ili kubaini vitendo vya rushwa ili kufanya matibabu pale wanapohongwa, tatizo lililolalamikiwa na wengi katika mgomo uliotangulia.

  NB. Wananchi sasa tutambue kuwa nchi yetu haina Madaktari bali Magaidi na tukumbuke pia kuwa mara kadha tumekuwa tukikosa huduma kwa madai kuwa hakuna dawa huku wakituelekeza kwenda kutibiwa katika dispensari zao nahata kununua dawa katika maduka wanayomiliki wao , dawa ambazo wamekuwa wakizihamisha kutoka maeneo yao ya kazi. Hivyo ni aibu kubwa kuwatetea Madaktari hawa wakati hata katika mazingira ya kawaida wamekuwa wakituonesha hawana utu.
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Rated: ****
   
 3. R

  RMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magaidi ni serikali dhalimu ya mafisadi wa ccm ambayo haijali maslahi ya watumishi wake!! Fedha za rais kwenda kubembea huko Amerika ya kusini zipo!! Fedha za kampeni za siasa uchwara zipo!! Posho za wabunge kwa vikao uchwara zipo!! Lakini maslahi kwa ajili ya madaktari wetu wanaohangaikia maisha ya watanzania usiku na mchana hakuna!! Madaktari wanayo haki ya kugoma hadi kieleweke!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Bado Africa tunahitaji kujifunza namna ya kutatua migogoro (problem solving techniques) kama ushauri ndo huu!!!!!!!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu japokuwa maneno ni makali na yanakata kama kisu kinavyokata siagi lakini yana ukweli ndani yake. Hasa hili suala la kumiliki zahanati na kutumia vifaa vya walipa kodi.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ushauri huu ni kijinga na haulengi kusolve problem. Hivi kama serikali ingesurrender na kuwatoa karafa hao Haji Mponda na Lucy Nkya kitendo hicho kingekuwa na madhara gani na gharama gani kwa wananchi? Jibu ni so simple, hakingekuwa na gharama kubwa kama ilivyo sasa ambapo damu ya watu ndiyo inayofidia gharama ya kuwalinda akina Haji Mponda na Lucy Nkya.

  Serikali ndiyo ya kigaidi na siyo madokta.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duu kweli akili kila mtu anazake!
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  upimwe akili wewe mwandishi wa hii mada. Taifa halina fedha kulipa madaktari, we unataka kuiongezea mzigo wa matumizi. Rudia kutafakari.
   
 9. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wivu wa kike! Mlitaka ma dr wauze spea za magari?
   
 10. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Mgomo ukiisha njoo muhi2 idara ya magonjwa ya akili
  Au nenda mirembe hawajagoma
   
 11. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Iam bored with the silence of the govt,then guys suppose you can access JK or PINDA what is your advice to them?
  To me i advice them that heri nusu shari kuliko shari kamili!
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Mimi naunga mkono madaktari kudai haki za malipo bora, mazingira mazuri ya kazi etc. Lakini kushinikiza fulani afukuzwe, nadhani hilo sio sahihi. Ushauri wako sijui kama unaendana na misingi ya utawala bora. tusiwe madikteita- tusije hukumiwa. kama kuwapa adhabu, ni ile inayoruhusiwa na sheria. A limited company, liabilities do not go beyond the company assets (wachumi mtanikosoa)
   
 13. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo watawala wetu hawajui conflict mgt skills! Si utakuta ni maproffesion wa mahala fulani ila kwa ubest na mkulu basi anampa ulaji bila kuangalia uwezo wake kwenye uongozi.
   
 14. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Eee MOLA tzama wale masikini...
   
 15. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Serikali ifanya mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wake. Kama kuwafukuza Mawaziri inaweza kuwa ndani ya uwezo wake. Lakini kuruhusu wagonjwa waathirike,au kutafuta fedha nyingi kuwalipa madaktari,hili ni jambo ambalo linaweza kuwa nje ya uwezo wake.
  Kama wapo madaktari wengine wanagoma,halafu wanawasubiri wagonjwa wafike katika hospitali za binafsi ambazo wanamiliki wao,that is immoral and illegal.
  Lakini muhimu ni kwamba kama madaktari wanadai better living conditons,waelewe kwamba hapa siyo Amerika,siyo Europe. Hawapaswi kuikaba koo Serikali kuwapa vitu ambavyo vinaweza tu kupatikana Marekani. Pia sioni kuna sababu gani Serikali inakuwa imeshindwa kulitolea uamuzi hili swala,baada ya kulitafakari kwa muda wa mwezi mmoja na saa 72.
  Tuonyeshe heshima zaidi kwa hawa wanataaluma. Watu wanaowajali wagonjwa ni wale walioamua kusomea Udaktari,sio watu wengine wajidai wao wana uchungu na wagonjwa.
  God has a plan for every one. He has a purpose for you. Kwa hiyo hakuna sababu ya kuuliza kwa nini Wamarekani wanaishi vizuri,na sisi tunapata matatizo?
   
 16. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Serikali imejipanga kukabiliana na mgomo huo. Pale jana (juzi) nilipozungumza na waandishi ofisini kwangu sikutaka kueleza mipango yote na kila kitu, lakini tulikuwa tunawasubiri tu wagome," alisema Pinda - upuuzi mtupu huu.
   
 17. C

  Cupid 50mg Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mod uitoe thread hii haina mshiko.
   
Loading...