Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hatua nyingine, mpasuko ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umezidi kuendelea baada ya katibu wa chama hicho wilaya ya Arumeru, Hamis Juma Kieni kujiengua katika chama hicho na kujiunga na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kauli ya mh. waziri mkuu Pinda imeniacha nikujiuliza maswali mengi ni nani mzalendo wa kweli kwenye taifa hili. Mh. Pinda umedai madaktari wamekuwa si wazalendo kwa kitendo chao cha kuitisha mgomo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki mheshimiwa Silvester Kasulumbai leo jioni alikua akitoa elimu ya uraia na kuzungumza na wananchi wa jimbo lake kwenye uwanja wa Madeko mjini Maswa,wananchi wa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani ndugu zanguni, mimi sijui kama mna uchungu na mwenendo wa hii serikali kama mimi, nimeangalia habari TBC leo jinsi ambavyo wanatangaza etc, very stupid and no creativity, nafikiri...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Kutokana na matukio ya kisiasa hasa kwa Nchi ya wenzetu ya Zanzibar,mambo si shwari tena katika Chama cha Wananchi, CUF. Mwalimu alitabiri , tena kwa uhakika, kuwa mtu akifanya dhambi ya ubaguzi...
10 Reactions
71 Replies
7K Views
Baada ya kikao cha madaktari wanaofanya kazi katika taasisi ya saratani ya ocean kuhusu mgomo unaoendelea wa madaktari kote nchini, tumeazimia mambo yafuatayo: 1. Sababu za mgomo wa madaktari ni...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukishuhudia serikali yetu ikishindwa kuwasaidia wananchi wake na mara kwa mara ikijikuta inatumia nguvu nyingi sana kuwalinda na kuwatetea viongozi wasio na sifa za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama cha Madaktari Tanzania ni Chama Cha hiyari na si Chama cha Wafanyakazi ambacho kina UWEZO WA KUITISHA MIGOMO. Kwa mujibu wa masharti ya usajili wa TMA, hakuna kipengele kinachotoa mamlaka...
2 Reactions
115 Replies
10K Views
Ni siku sasa toka mgomo wa madaktari uanza sasa imefikia atua ya waziri husika na naibu wake kutakiwa kujiuzuru, ila wasiwasi ni kwamba NANI ANAFUATA BAADA YA WAZIRI HUSIKA? huu ni wasiwasi uliopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jimmy Cliff -House of exile - YouTube House Of Exile - Jimmy Cliff There's a day of feasting and a day of famine Day of sadness and a day of joy You could see in the day of feasting Life isn't...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kweli tunataka mgomo wa madaktari uishe mapema hatuna budi kuwaunga mkono. Siku mbili zakuwaunga mkono zitaiamsha serikali usingizini. Wagonjwa na wananchi kwa ujumla hatuna budi kuungana na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika. Leo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa nchi kama Marekani, huwa hawaruhusu mwanadiplomasia kuwa Rais. Huwa wanafanya hivyo kwa maksudi maalum kuwa, mwanadiplomasia hawezi kuwa na maamuzi magumu,hoja zake huwa zinapunguzwa ukali...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wazee wana nafasi muhimu sana kwa jjamii yeyote,ni kiungo na hamasa kwa maisha ya wanajamii katika jamii yeyote,wazee ni alama ya utimilifu wa maisha ya mtu hata jamii,wazee ni walezi kwa watoto...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Uongozi unapenda kutoa taarifa kwa madaktari wote nchi nzima kuwa hali ya ushirikiano na umoja miongoni mwetu imeendelea kuimarika sana, hospitali mbalimbali zimeendelea kushiriki katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wanasiasa wabongo wakipewa pressure ni dhambi kisa watasema watu wengine wanaingilia shughuli za kisiasa lakini wao wakiingilia mambo ya kitaaluma ni halali yao na wanataaluma wana fanya makosa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Jk hana hata uchungu kidogo juu ya watanzania wanaopoteza maisha yao ,wasio na hatia ????daw ya kuahidi utekelezaji ni kutekeleza ,kikao kitkachofanyika kesho juu ya wazee wa ccm pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo yanavyozidi kuvurugika, na serikali inavyoonyesha udhaifu na kutokuliona tatizo kwa undani. Maamuzi ya kibabe na kukurupuka yanayotolewa na waandamizi wa serikali sasa mahakama, hayataleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kanuni ya msingi inagombaniwa katika mgomo huu wa madaktari ulioanza tena baada ya kusitishwa kwa muda wa wiki tatu. Kwamba je wananchi wa Tanzania watatawaliwa jinsi ile watawala...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
There have been so many terrible things that have been happening to our African societies without taking serious notice. It has been a tendency for most of African societies to blame if not...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom