Hii ndio impact ya vitendanishi vibovu vya kupimia VVU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio impact ya vitendanishi vibovu vya kupimia VVU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GABRIEL ISACK, Mar 8, 2012.

 1. G

  GABRIEL ISACK Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ni mbaya sana katika Hospitali zetu baada ya kugundulika vifaa vya kupima VVU havitoi majibu sahihi. Akina mama wanajifungua bila kupima hivyo usalama wa watoto wanaozaliwa haujulikani, wanaotaka kuoana nao mambo ndo kama hivyo, upatikanaji wa damu salama ndio balaa yaani watu wa ajali wanakufa huku wakijiona na kujua ninakufa kwa kukosa damu.

  LAKINI NYUMA YA HALI HII KUNA MTU KAPIGA HELA NDEFU BALAA NA ANAJISIKIA SAWA TU HALAFU HATA KANISANI ANAENDA NA KUTOA SADAKA HELA HIZO HIZO. Serikali agizeni vingine haraka acheni siasa kwenye uhai wa muwaongozao.Tukiisha wote nani atawalipa kodi za kutanulia?
   
Loading...