Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Mar 7, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ni TBC news ya Saa 10 alasiri, Waziri mkuu amesema wanasubiri waone kinachoendelea na wamejiandaa vema kukabiliana na hali itakayotokea.

  Wanasema misimamo kama serikali na baadae wanakaa tena kufikia muafaka.

  Anayetesa wananchi kwa sasa ni Waziri na Afya na naibu wake, Nadhani wangekubali kuwa wao ndiyo kero namba 1 wakajishusha kuokoa taifa.

  Acha tuone kama wanakuja Doctors kutoka China au la
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Serikali imeagiza madaktari Cuba na Russia
   
 3. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Usanii huu utaifikisha wapi serikali yetu?
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hao wachina watatibu private hospitals?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  usema PINDA ana upungufu wa akili!!!!.... mtumwenye akili timamu hawezi ku behave kama pinda
   
 6. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakigoma walimu serikali itaagiza walimu Cuba na Russia? mmh nadhani unatania tu maana haingii akilini ukaagiza mamia/maelfu ya madaktari/manesi kutoka nchi za nje...!
   
 7. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda kweli JK na baraza lake la Mawaziri Kama Chanda na Pete . Nilishasema hapa JF Jakaya Mrisho Kikwete na CCM they are not serious and some of you thought it was a fools day joke? Haiingii katika akili for grown ups to tangle over an issue you can solve by just a click. Politically what will **** Kalulu miss if he fires the duo and pick his other concubines to those posts. Kichaa sio lazima atembee uchi! Let us start a huge occupy Magogoni nadhani this will toa Nyoka pangoni kwani akina Said Mwema na inteligencia yake they come crawling huku Mwamunyange akisogeza vifaru from WW2 version. The music goes on hakuna kulala!
   
 8. P

  Pelege Senior Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda uwezo wa kufikiri ni mdogo sana anazidiwa hata na uwezo wa kufikilia wa mtoto wa siku moja aliyezaliwa.
   
 9. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Serikali vs Drs filamu inaendelea.
   
 10. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Hapa ndio pananipa shida, Hivi unahitaji elimu ya Chuo kikuu kujua ni nini kitaendelea? Then wakishaona itakuwaje? Hizo roho za marehemu watazidusha?
   
 11. y

  yaya JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wataongea na maskini wagonjwa kwa lugha gani ili waelewane?
  Wanataka kuleta story za aliyekuwa waziri wa maji kipindi fulani Mhe. Pius Ng'wandu aliyewahi kusema atakabiliana na uhaba wa maji DSM kwa kusafisha maji ya bahari kama uarabuni wanavyofanya!!!
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  binafsi naona madoctas wamejaa misifa ya kijinga vichwani mwao. sababu inayowafanya wagome ni kwa ajili ya lucy na haji tu? this is crazy. wakijiuzulu hawa wawili then what? mimi nashangaa wameacha kushughulikia mambo ya msingi sasa wanahangaika ni vitu vya kipuuzi. interlectual yao iko wapo. mbona naona pumba tu kwenye vichwa vyao.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Pinda unajihaibisha bwana maneno gani ya shombo hayo??? Kumbuka kauli yako iliyopita ndio ilichochea makali ya mgomo,nakushauri hili swala kaa pembeni kabisa!!
   
 14. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamejiandaa vya kutosha kwa kusambaza vibaraka wao kutoa proganda kuwa hakuna mgomo! Kuagiza madaktari toka nje ndio litakuwa suluhisho? kwali baraza la mawaziri la sasa hv! Pinda hili suala la kusema tunangojea tuone.....ubabe wenu utawatokea puani..kama mlihaidi timizeni.
   
 15. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazazi ,raisi mcheza ngoma,waziri mkuu mganga wakieyeji, spika house girl,mawaziri virukanjia, wazazi mpaka ifike 2015 nchi itakuwa nyang'a nyang'a................pinda kajiandaa kwa lipi kama si balaa tu anatafuta.........huyu mzee wa kulia lia
   
 16. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mjinga mwingine huyu!
   
 17. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Pinda ni mtu wa ajabu sana. Walikaa na Madaktari wakafikia maazimio mpaka jana anasema wanayafanyia kazi wapi?? kwenye giza? hata yapo yanayofanyiwa kazi nyie kina Pinda hamuwezi kuwapa Update Madaktari? Sikutegemea Mwanasheria/Mkatoliki safi kama Pinda apige domo tu kama Mwehu! Kwa hili Serikali hamna pa kukimbilia lazima mtimize mtake msitake Dr. Mponda na Dr. Nkya lazima wataondoshwa tu ofisini tena kwa aibu. Na hili limeanza hapo wizara ya afya litahamia pale karibu na Ikulu (Wizara ya Elimu kwa Dokta. Kalambwa) huyu naye ni mzigo wa taifa hata kuongea hawezi hata huko Chuo Kikuu sijui alikuwa anafundishaje. Kuna vijana mmewaajiri toka Vyuo vikuu wamepinda mbaya, hawana nidhamu ya uwoga! wamesoma kwa Mkopo halafu hamtaki kuwalipa mshahara? Imagine huyu Dokta Kalambwa (Kawambwa) hata kuunga Sentensi ya Kiswahili ni ishu sijui Kiingereza inakuaje au ndo tuseme Course alizokuwa anafundisha COET-UDSM ni number tu anyway!
   
 18. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Kwa hili na mengine yaliyomshinda Pinda mara mia Waziri Mkuu "Mstaafu" kwa upande mmoja alikuwa Mtendaji
   
 19. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hivi vichekesho vya mwaka gharama za kuagiza hao madaktari kutoka china na russia ni zaidi ya wanachodai madaktari......ona sasa ndo serikali yetu.....akili zako changanya na zakeeeee
   
 20. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Revolution is on progress...

  ..wataalamu hawawezi kuwa watumwa wa wanasiasa period.
   
Loading...