Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgongo wa paka, Mar 4, 2012.

 1. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  aaaah!!!
   
 3. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hata uchukie jamaa class ingine bongo hakuna wakufananisha hata dunia
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Mkewe hayupo? Si achukue taxi?
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nitaenda kumpokea. Nadhani kwa sasa hana itikadi ya kichama. Kama watu hujitokeza kwenda kuwapokea washiriki wa Big Btother (akina Bhoke) kwa nini tusimpokee huyu ambaye ameonyesha kwamba TZ kuna vichwa?
   
 6. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yap hilondonenö itikadi pembeni tuacheni chuki za kijinga ambazo zitaigharim tz
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kaisaidia vipi TANZANIA kwenye maswala ya uchumi ??
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Atafikia Msikiti gani?
   
 9. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  niajabu sana tanzania tunaibuka kidedea ktk elimu ya uchumi lakini tanzania tukiwa dhaifu kiuchumi kwani tunawadharau sana wasomi wenye vipaji kama lipumba
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Sasa watz wote wanaorudi nyumbani kutokea kwenye missions za umoja wa taifa wakapokelewe? Umeshawahi kwenda kupokea bba participant?
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sifa na heshima duniani anazipata yeye wakati nchi yake inaporomoka kila kukicha, AWEKE UZALENDO MBELE
   
 12. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ndio wewe ujiulize vp dunia inafaidika haswa nchi za ukichwa ngumu wa viongozi wa ccm na serikali yao kumdharau lipumba. Kama mtakumbuka mkapa alimleta prof uchwara wa uchumi huku akimwacha mtanzania prof lipumba kisa itikadi mkapa leo anathibitisha kuwa alileta boga na kulilipapesa nyingi na kufaidisha nje huku akimwacha bingwa wa uchumi duniani ambae mtanzania halisi
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  angekua MZALENDO ANGEACHANA NA CUF AJENGE UCHUMI WA TANZANIA.
   
 14. kiagata

  kiagata Senior Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Angel unanikumbusha, Jiwe walilolikataa mafundi ujenzi limekuwa jiwe kuu la msingi.
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  lipumba licha ya kuwa ni mwenyekiti wao, amelifanyia nini taifa?
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tatizo ni kwamba yeye ni mwenyekiti wa CHAMA CHA SIASA na Tz sio nchi ya umoja wa kitaifa, namwomba mheshimiwa LIPUMBA aachane na cuf ajikite kwenye kutukomboa wa Tz kiuchumi, kwanza li cuf lenyewe lishajifia.
   
 17. C

  Chogo matata Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Anarudi na mke?
   
 18. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haha haha haha.... VINEGA wanaihofia CUF kweli! Si mmeshasema CUF imekufa? Kwa nini mnaogopa maiti?
   
 19. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Huko kuchaguliwa kwa Lipumba si suala la kisiasa, wala la kitaifa, bali ni suala binafsi. Huwezi kuwaambia watu wakampokee, kwa manufaa gani kwao?
  Hapo ndipo linapokuja lile tatizo la taifa kushindwa ku-achive mambo ya msingi badala yake watu wanahimizwa kudandia mambo madogo yasiyo na uzito wowote kitaifa.
  Wataenda wenye maono mafupi, wengine tutasubiri Olympics ziishe ndiyo tuone kama kuna mashujaa wa taifa wa kwenda kuwapokea na medali zao!
   
 20. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ameshaachana na msikiti, na yeye mwendo ni kanisani tu kama CHADEMA!
   
Loading...