Je raisi ametoa tamko lolote juu ya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je raisi ametoa tamko lolote juu ya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Troo, Mar 8, 2012.

 1. Troo

  Troo Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kufuatia mgomo wa madaktari ambao unaendele Je Kunatamko lolote ambalo JK amelitoa na je Ufumbuzi wa tatizo hili serekali imetoa tamko gani!!!!
   
 2. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo tuna jadili na hili pia
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  sijawahi sikia rais wetu akitoa press conf na kueleza tatizo linalokabili nchi!mara ya mwisho ilikua kifo cha nyerere
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Selikali gan tena mkuu, hujui kuwa tumeingia mwaka wa 7 bila ya selikali? Matatizo yote yanajitatua spontaniaousily isipokuwa hili la ma dr. haliwezi kujitatuwa kama mengine hivyo inabidi wana nchi tuisimike selikali inayo tatua matatizo (naunga mkono mgomo wa madaktari mi niliye mgonjwa mtarajiwa)
   
 5. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Dk. Kikwete yupo kwenye mgomo pia! Mwenyekiti wake (Chama Cha Madaktari - MAT) kishatoa tamko!
   
Loading...