Vijibweni uchaguzi wa diwani endelea kutujuza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijibweni uchaguzi wa diwani endelea kutujuza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Encyclopaedia, Mar 8, 2012.

 1. Encyclopaedia

  Encyclopaedia Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale wajuzaji wetu wa kampeni za Udiwani kwa upande wa CDM tafadhali tujuze ufunguzi ni lini, kiwanja gani saa ngapi ili sisi wapenzi tuhudhulie kufanya tathmini kwa kumpima mgombea with his APPROACH to the audience tupate cha kumshauri wakati kampeni zikiendelea...

  Sisi ni wadau wa huko please....aweda do this now
   
Loading...