Moto wa CHADEMA wazidi kuipasua kichwa CCM jijini Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa CHADEMA wazidi kuipasua kichwa CCM jijini Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Mar 7, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima mbele,

  Kama mnavyo fahamu kuna uchaguzi mdogo wa diwani kata ya Kirumba jijini Mwanza kufuatia kifo cha diwani Novatus Manoko(CHADEMA)kilichotokea mwaka jana.CCM wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanaichukua hiyo kata huku CDM wakiwa wamejizatiti vilivyo kila idara kutetea kiti chao.CCM sasa wanahaha na mapingamizi ili mgombea wa CDM bwana DANN KAHUNGU aenguliwe,pingamizi la kwanza limetupiliwa mbali leo na afisa mtendaji wa kata ya Kirumba lakini CCM wamekata rufaa kwa Mkurugenzi wa jiji.Nitaendelea kuwapeni updates but inshort CCM tumewakamata sa.bu.ri,yaani ni man to man.

  Hakuna kulala mpaka kieleweke...


  Nawasilisha

  UPDATES:


  Mkurugenzi wa jiji la Mwanza ametupilia mbali pingamizi la CCM dhidi ya mgombea wa CDM.Sasa makamanda tunaingia kazini rasmi..Yaani hapa Kirumba ni full shangwe sasa hivi...Peopleeeeeeeeeees...Poweeeeeeeer.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hiki chama nakipendaga we achaga tu
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Chama gani mkuu? Hope unamaanisha CDM nasivinginevyo! Lol
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  2po pamoja makamanda,huku arumeru hawahemi
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa magamba mbinu zao tunazo kitambo sana mifukoni!

  Hawana lao tena hapa Nchini nawahakikishia!
  Hawa tunawatupilia mbali kama vile kumsukuma mlevi wa gongo vile!

  Huu msako tukiwa wana wa CDM tutaendeleza mpk 2015 na tunafanya mipango wa kuitafutia jina la kudumu!
  Kwani msako wa lango hadi lango ni lazima na itadumu!
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwezi amini chama cha magamba sasa kinategemea mapingamizi!!!
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani JK akisikia CDM lazima ashituke kidogo. Nape alisema CDM watacheza muziki wetu na si sisi kucheza musiki wao lakini naona hadi leo hajaanikiwa hilo.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa tunawazima ful! Hawana mbinu tena.
  Mbwa mzee kumfundisha sheria mpya ni kazi kweli kweli!

  Eti wanawaletea wanainchi magari ya washawasha utafikiri tuna vita hapa Meru!
  Ila safari hii watashanga na roho zao ya ufisadi uliokubuhu!

  HATA SIKU MOJA HAKI HAIJAHI KUSHINDWA!
   
 9. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mashariki, Magharibi, kusini na kaskazini bado CCM ni Imara na itaendelea kuwa Imara mpaka mwisho wa dunia.
   
 10. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Hivi hii mijambazi ya magamba itaachaga lini kuiba iba na ujanja unjaja wa kipumbafu hivi? Yana boa kweli
   
 11. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Halafu ukiona mtu yeyote anayeshabikia ccm ujue huyo ni mwizi na jambazi wa haki za wanyonge,na ajue mbele za Mungu atajibu yote.
   
 12. R

  Romee Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  lazima uelekee milembe,kwani ukiona mtu anasema maneno kama hayo ujue amefyatuka,kakojoe ukalale
   
 13. t

  tweve JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  yafaa nduguzo wakakukimbiza india ama kwa mwasapile loliondo ukatibiwe,
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  joto la kisiasa nchini linawafanya baadhi yetu kupayuko kama wagonjwa wa akili
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  unatoka chama cha freemason si ajabu kuja na hitimisho hilo.
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mwanza bado ni ya CCM
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ng'wana Sweke!

  Updates Pleas! Kama zipo!

  Tumechoka na mafisadi!
   
 18. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Usukumani CCM imebaki jina na kutishia watu tu ila kiukweli hatuitaki kabisa! Peoples Power ndiyo yenyewe
   
 19. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Are you really a great thinker? If the answer is YES, give reason for your arguments. Sio kusema chama cha magamba kitaendelea kutamba hadi mwisho wa dunia, KIKWETE anakulipa kiasi gani kwa kushabikia ujinga? Umeachwa sana. Tena bora hata ungelikuwa unajua kuwa upo nyuma, mbaya zaidi haufahamu kama wakati hauko upande wako tena..... very soory, utashtka tumefika MAGOGONI.PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSSS..... POWERRRRRRRRRR...NDIYO MTINDO WA KISASA......!!!
   
 20. M

  MDIGGO WA AR New Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I love chadema, huku arumeru wakishinda ccm naanza mgomo wa kuto kula bila kikomo
   
Loading...