Wanasiasa Vs Wanataaluma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa Vs Wanataaluma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Mar 9, 2012.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  wanasiasa wabongo wakipewa pressure ni dhambi kisa watasema watu wengine wanaingilia shughuli za kisiasa lakini wao wakiingilia mambo ya kitaaluma ni halali yao na wanataaluma wana fanya makosa kuwapinga, ndio maana miaka 50 toka tupate uhuru hatujui tunatokea wapi na tuna kwenda wapi
   
 2. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa ufupi wao wanajiona ndio kila kitu. Kumbe makabwela tu.
   
 3. M

  Mkira JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  hakika walioko kwenye siasa wamefanikiwa sana kuwazuia watanzania wengine wasijadili mambo ya siasa eti kwa kufanya hivyo unaangisa siasa katika elimu! Na hii yote imewafanya wao waendelee kutanua na kujifanyia mambo hovyo hovyo tu bila hata kuulizwa na wasomi. Ila ukweli kama alivosema hapa juu wao wanaingilia kila kona na kuvuruga elimu! Saa ya ukombozi inawadia wasomi wanatakiwa kuwa wazalendo na kuwashauri bila uongo wana siasa, na wa si hasa wakikataa ni wakati wa kuwashulikia ili kuikoa nchi yetu toka mikoni mwa mafisadi wa madini yetu nk, bei za vitu zinapanda kila kukicha jana tena bei ya mafuta imepanda! Umeme ndi hata usiseme!
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wanasiasa wao wanajiona wako juu ya kila kitu, lakini ukweli ni kuwa wanajua mambo juu juu tu na kujifanya wanajua kwa undani. Ukifuatilia seminar au training au ziara wanazofanya nje ya nchi utakuta wamejikita/wanapigishwa katika kutunga sera vitu ambavyo vipo kwenye makabati tokea enzi za mwalimu. Na bahati mbaya zaidi wakienda kutembelea nchi za wenzetu, wanaishia kuelekezwa jinsi ya kutunga sera, wakirudi wanagawa mali ghafi!! Kama kweli wanataka kujiingiza kwenye masuala ya kitaalamu, waingie kwenye technical part ( How to it from the scratch to products).
   
Loading...