Hofu ya pinda na madaktari?

mwachewangu

Senior Member
May 4, 2011
111
41
Ni siku sasa toka mgomo wa madaktari uanza sasa imefikia atua ya waziri husika na naibu wake kutakiwa kujiuzuru,
ila wasiwasi ni kwamba
NANI ANAFUATA BAADA YA WAZIRI HUSIKA?
huu ni wasiwasi uliopo kwa waziri pinda kuwa baada ya waziri uyoo ni yeye atafuata wanaachi kuandamana kujiuzuru manake ofu ni kuwa ameshakiri uzaifu.................
JE HIII NI SULUISHO KWA WAZIRI NA NAIBU WAKE KUTOKA?
KUTOKA habari za ndani kulitokea amri ya FFU kumwaga muhimbili ila
nao walikataa kwa kusema kuwa nao wako nyuma yao,,,,
IKUMBUKWE..........
Kuna mtu mmoja aliwai kulipoti kwenye redio flani ya dini
alikuwa akisumbuliwa baada ya namba yake kuandikwa sehemu
yeye anatoa ajiri baada ya kuchoka kujibu simu za wanaachi wanaotaka
ajira akawa anawaambia ANATAKA KUPINDUA NCHI NA WATU WENGI WALIKUWA
TAYARI KUJIUNGA NAE KATIKA HILO......
HIII NI ZAIRI KUWA WATU WANATAFUTA KWA KUANZIA NI WAPI
NI VIZURI SERIKALI IKATUMIA HEKIMA KATIKA ILI LA MADAKTARI????
 
Back
Top Bottom