CHADEMA yatema cheche Maswa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yatema cheche Maswa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, Mar 8, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki mheshimiwa Silvester Kasulumbai leo jioni alikua akitoa elimu ya uraia na kuzungumza na wananchi wa jimbo lake kwenye uwanja wa Madeko mjini Maswa,wananchi wa Maswa walijitokeza kiasi kumsikiliza mbunge wao,pamoja na mvua kunyesha wananchi hao hawakutawanyika bali walijibanza kwenye nyumba za pembeni na ilipoisha walirudi kumsikiliza mbunge wao kipenzi mheshimiwa Kasulumbai,hatimaye mkutano uliisha kwa amani na wananchi kutawanyika kurudi makwao huku baadhi yao wakaamua kulisukuma gari la mbunge wao huyo.
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyo kamanda ni balaa...Niki recall alivyo mkwida Mama Kimario kule Igunga dah!...Long live Kamanda...long live CDM.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyo Kamanda ni mpiganaji!

  Viva CDM!!
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu.
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  weka picha mkuu.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndiyo njia pekee iliyobaki mkuu...maana ga.mbaz... vyombo vya dola vinawapendeleeni sana.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu za uchochezi wa kidini ndio zina nafasi kama tulivyoshuhudia kule Igunga na Uzini?
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  True freedom is near, bip up kamanda
   
 9. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ndiyo YESU wa Maswa bwana.
   
 10. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakumkwida kwa sababu za kisiasa bali ni kwa sababu za uhalifu wa kufanya vikao haramu karibu na mahali makamanda walipokuwa wakifanya vitu vyao. Viva komandoo Silivester, Viva CDM tuko pamoja kama ccm na magamba yake.
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  acha kufuru kijana, kama huna la kusema sepa!
   
 12. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kama ccm wakiendelea kutufata fata kama fisi anaesubiria mkono udondoke tutaendelea kuwakwida tu,
   
 13. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  sikuweza kupiga picha coz camera kwenye cmu yangu ni mbovu mkuu,ila lile ni jembe la ukweli na anakubalika hapa Maswa sana tu.
   
 14. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kifasihi hajakosea kusema Yesu wa Maswa kwani alikuwa akimaanisha kuwa huyo ni mkombozi wa Maswa kwa sababu kifasihi unapotumia jina Yesu una maanisha mkombozi.
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  taifa la wahuni lazima liendeshwe kihuni. Ukiwa unashind na wahuni inabidi na we uwe mhuni ili uanze kuingiza ustaarabu wako taratibu na watakuelewa
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  chadema wanaumwa maradhi mabaya
   
 17. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli hazina nafasi mkuu,zenye nafasi ni zile za kuwekeana sumu na kutumiana majambazi kuuana
   
 18. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Upole tumeona mambo hayaendi kinachofuata ni kipakistani tu. Mtu anapigwa makofi ikibidi.
   
 19. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Leave alone squeezing someone throat and then letting her go.
  We have crooks in Tanzania who Kill in order to Win Election.
  They will kill their Biological Moms if they are the only block to their achievement.

   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hapo Shibuda lazima anamtazama kasulumbai kwa jicho la husuda,magamba yule
   
Loading...