JK...Sikiliza Huu Wimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK...Sikiliza Huu Wimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Mar 7, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Jimmy Cliff -House of exile - YouTube


  House Of Exile - Jimmy Cliff


  There's a day of feasting and a day of famine
  Day of sadness and a day of joy
  You could see in the day of feasting
  Life isn't just a little play-like toy.

  So the day arrived when you least expected
  Cos you always thought you were well protected
  Now you feel like a fish out of water
  So now you're wondering what's the matter.

  Oh remember you said it wouldn't happen to you
  Now you're thinking how to start a new
  A drowning man will catch at a straw
  You were warned but you wouldn't take heed.

  Everything in creation must obey a law.
  Its true in words as it is in deed.
  You were so puffed up in your pomps and pride
  You're exposed you got none to hide

  Yes, you used to look down on the folks beside you
  Never they think you would have come down too

  Remember they said you got to reap what you sow
  Simple truth everybody know

  Chorus
  Oh what are you on a house of exile
  Watching you now on your own last mile
  Yes, what are you on a house of exile
  Watching you now on your own last mile

  Music interlude

  Oh what are you on a house of exile
  Watching you now on your own last mile
  O OH what are you on a house of exile
  Watching you now on your own last mile

  Everything in creation must obey a law.
  Its true in words as it is in deed
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  1. Madaktari wanagoma tena
  2. Mgao wa umeme umerudi kimyakimya
  3. Mawaziri wako wanatoa kauli za kupingana
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  • Waandishi wa habari wanagoma
  • Walimu (waajiriwa wapya) wanagoma
  • Wanafunzi wanajiandaa kugoma
  • Wanachuo wanajiandaa kugoma

  I love my country Tanzania, but why I am so sad?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Habari zilizotanda magazeti mengi leo:

  Mgomo wa madakitari waendelea na wazidi kutanda nchi nzima!

  Walimu waipa serikali siku 14 kama madai yao hayatatekelezwa watagoma!

  Walimu 746 walala wandamana ofisi ya Mkuu Wa Mkoa Mwanza wa kishinikiza kulipwa madai yao!

  Chuo cha muhimbili (medical technicians) chafungwa kwa muda kutokana na ukosefu wa chakula!

  Walimu wawafungia maofisa wa idara ya Elimu halmashauri ya kigoma ujiji wakidai mishahara yao ya mwezi wa kwanza na wa pili!

  Wafanyakazi wa Tazara wagoma wataka Waziri wa uchukuzi ajiuzuru, wanadai mishahara ya miezi miwili! Maiti na mizigo mbalimbali iliyokuwa isafirishwe yazidi kuharibika!

  Habari hizi zote ukizitafakari unabaini wazi kwamba kuna tatizo kubwa! Sijui Kama Rais wetu anayaona haya! Migogoro kila kona ya nchi! Kikwete unajua anakotupeleka!
   
 5. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi ikishakosa mwelekeo na kutokuwepo uwajubikaji ktk serikali, hutokea yeyote kutoa kauli yake ajisikiavyo.
  Hivi kweli nchi yetu imekuwa kama nyumba ya KAMBALE? UKO WAPI RAISI WETU, IKULU KUNA MGAO WA UMEME UNAOSABABISHA USISIKIE TAARIFA ZA HABARI? AU KUNA MAJI YA MAFURIKO GETINI YANAYOZUIA KUPATA MAGAZETI? SIMU YAKO HAINA CHAJI? AU HUNA SALIO KUJUA YANAYOJIRI NCHINI?
  Kama ni hivyo hata wasaidizi wako na washauri nao wameishiwa mpaka ushauri wa kukupa? lakini kumbuka ulizunguka nchi nzima ukiomba kura na tukakuchagua kwa kauli mbiu ya ARI MPYA, KASI MPYA, NGUVU MPYA Umesahau mara hii?
   
 6. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wameziba masikio yao kwa pamba na kufunua midomo yao ili wale vizuri. Gitaa hili tunampigia mbuzi.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  So bad.......yaani watu kama hawapo vile......lakini tunawaona kwenye misafara tu
   
 8. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Polisi wanauwa watakavyo
  Wameshika mipini
  Sisi kwenye makali
  Hukumu ya mhalifu kwao ni kifo
  HAKIMU ni polisi, n.k
  Mzee JK fumbua macho uone haya, tukichoka tutatoka, hatutaogopa risasi,
  mabomu, n.k.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Umeme umepandihswa bei.......halafu haupo
   
Loading...