TBC aibu tupu - Maigizo matupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC aibu tupu - Maigizo matupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by uttoh2002, Mar 8, 2012.

 1. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Jamani ndugu zanguni, mimi sijui kama mna uchungu na mwenendo wa hii serikali kama mimi, nimeangalia habari TBC leo jinsi ambavyo wanatangaza etc, very stupid and no creativity, nafikiri mkurugenzy wake ameamua kutotumia akili yake kabisa, ***** mtupu!

  Wanatangaza habari au wanajaribu kuwa wana CCM wa serikali corrupt ya Kikwete? naona watangazaji wake wamefikia hatua ya kuongelea and in a way if you read between the line kuwashauri madaktari wasigome, haya mi madudu na ujinga ambao hata mwanangu wa miaka 10 hawezi kufanya.

  Wanaongea tu kuwa watu wanakufa, na kuwalaumu madaktari, can you imagine hii ni demand ya watu over 40,000 against 2 people ambao wanataka watu wa 2 tu wajiuzulu, ni lawama kwa madaktari kugoma watu wanakufa, lakini sio lawama kwamba inasababishwa na kukumbatia mawaziri wawili corrupted wa serikali corrupted!

  Halafu hawa vilaza wakati mwingine wanatangaza kitu kingine, na kuweka video au taarifa tofauti na kile wanachotangaza, then wanasema kumradhi ..... very stupidy, nilikuwa sina uwezo wa kuweka DSTV kwangu, ila nimempigia Babu yangu nampa STAR times yangu then kwa udi na uvumba niweke DSTV.

  My take:

  Siku inakuja, nayo yaja, ambapo HAWA wote tuta wa Libya, subirini tu, nimechoka na huu ujinga.

  Nawasilisha wakuu
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa nini usitulizane upange vizuri maneno yako ili thread yako ieleweke vizuri unaandika kama vile unaongea na simu.
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kumbe umemwelewa, maana mtu anapoongea na simu huwa anaeleweka anaongea nini kwa yule wa upande wa pili.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Msamehe tu, hajui anachokifanya huyu!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sio sahihi kabisa kwa new reader kujigeuza na kuwa new maker! Nimeona watangazaji wa TBC1 wakiongelea huu mgomo wa madaktari na kuchuwa side as if wana authority ya kufanya hivyo. Inawezekana wako kwenye upande wa propaganda lakini wakumbuke pia huku ni kudhalilisha taaluma yao pamoja na wao binafsi.

  Tanzania kama jamii, hatuwezi kusonga mbele kama hatuongei kwa uwazi matatizo yanayotumbuka. Sasa hivi tuna mgomo, haijengi hata kidogo kwa chombo cha habari kufunika mambo. Mficha maradhi kifo humuumbua.
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu mwenyewe nilikua naangalia,tbc are finished,wametengeneza habari kuibeba serikali juu ya mgomo wa drs,lakini habari hiyo imekua kichekesho maana ualisia unaonekana!these people are so lumpen,hv bado hawaelewi tanzania ya sasa ni ya waelewa?Tiddo Muhando kuondoka kwako tbc ndio umeichimbia kaburi!
   
 7. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Nimewasikiliza wakuu na nime edit kidogo, I hope now inasomeka .....!
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  I salute you mkuu..TBC 1 ni janga kwa taifa kwasasa..jamaa ni boring sana,a lot of stupidy comments toka kwa watangazaji na sijui wanatafuta lini....
   
 9. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Tbc nimewaangalia leo they are pathetic!!! Grrrrr! Aibu aiubu kwanza hamna mpangilio wanasema hiki kinarushwa kitu kingine. Walipo haribu zaidi ni pale wale watangazaji walipokiwa wanaongea commentar zao, yaani eti wanawashairi ma Dr, nikajiuliza yaani hata kufikiri tu kwamba wanaongea utumbo...khaa, I can't explain.
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa unashadidia madaktari wagome ili iweje? Wewe unanufaikaje na mgomo huo? Kama ni siasa fanyeni siasa za kistaarabu,ikulu haipatikani kwa utovu wa nidhamu!
   
 11. P

  Papaya Senior Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kilichoboa zaidi katikati ya habari ingine kabisa wanaturudisha tena mwanzo kwa sakata la madaktari Lindi. Kuweka picha kumbe ni siku ya wanawake inaadhimishwa. Wanaishia kusema kumradhi. Stupid TBC mnalazmisha madaktari warudi kiaina. Wakuu madaktari kazeni buti mpaka kieleweke
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi nimeangaliaangalia taarifa ya habari ya tb2 nikaona upuuzi huo ikabidi nihamie tv sibuka nachek muvi la John Sena,
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha bado tuna watu wa umri wako wenye mawazo ya Kizee, rudi kijijini ukakae na wazee wenzako, Masaburi wewe
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo letu watanzania tumezoea kulia lia sana! Kama unaona haikutendei haki achana nayo, tune station nyingine! Hamna anayekulazimisha kuangalia TBC1
   
 15. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Mi nishaacha kucheki hiyo TV CCM Siku nyingi sana. Pumbafu sana hawa vibaraka.
   
 16. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa ni private Tv wala nisingepata hofu! Haiwezekani iendeshwe kwa kodi zetu halafu watangazaji wafanye yasiyoeleweka. They should dedicate themselves in serving us and not otherwise
   
 17. salito

  salito JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Wadau mwenzenu nipo gizani,umeme hakuna...wamenikatili hata habari sijaona,halafu masaburi ndio nini maana yake?
   
 18. Dotto Athumani

  Dotto Athumani Senior Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo tatizo lao wameshauri madaktari wasigome? Mbona mnachambua kishabiki sana, kwa mtazamo wangu na kama mmoja wa wanahabari naamini hatujafungwa kushauri jambo hasa linalohusu umma! Afu haitaingia akilini kuwapongeza madaktari wakati kuna watu wanateseka kwa kukosa huduma zao. Ofcoz naungana na madaktari katika kudai hak yao lakini pia haina maana nitachukizwa na maoni mengi. We must be flexible community to achieve our success.
   
 19. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Masaburi product ....!

   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa trend hii atakayefuatia ni waziri wa nishati!!
  Baada ya Dr. Mponda kuondoka (kama Rais ataridhia) basi madaktari watasema hawawezi kufanya kazi kwa sababu hakuna umeme wa uhakika hivyo Waziri wa Nishati aondoke.

  Hivi tunategemea TV ya Serikali kweli ishangilie mgomo dhidi ya serikali? Aaaah jamani kweli?
   
Loading...