Rai: Tuwaunge mkono madaktari katika mgomo wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rai: Tuwaunge mkono madaktari katika mgomo wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkweli1961, Mar 9, 2012.

 1. m

  mkweli1961 Senior Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kama kweli tunataka mgomo wa madaktari uishe mapema hatuna budi kuwaunga mkono. Siku mbili zakuwaunga mkono zitaiamsha serikali usingizini. Wagonjwa na wananchi kwa ujumla hatuna budi kuungana na kudai haki yetu ya msingi ya kupata matibabu. Haki haipatikani kirahisi rahisi hinyo. Inahitaji kujitoa muhanga kwa ajili ya vizazi vijanyo. Tunaweza kuanza na maandamano ya amani kutoka sehemu zote za jiji , mikoa wilayani tarafani na vijijini.Kweli tunakubali watu waendelee kufa kwasababu ya Mponda na Nkya. Hii nasema haikubaliki.
   
Loading...