Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya Wanachama wa CCM katika Kata ya USA River ambao wagombea waliokuwa wanawaunga mkono walishindwa na Sumari katika kura za maoni leo wanatarajia kujiunga na Chadema. Akizungumzia suala...
4 Reactions
113 Replies
10K Views
Wagombea Wa CCM na CHADEMA Wawekeana Pingamizi Ubunge Arumeru Mashariki Taarifa za hivi kutoka Arumeru Mashariki jioni hii zinasema vyama vya siasa CCM na CHADEMA vimewekeana mapingamizi kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Upo msemo wa Kiswahili unaosema mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Nimeanza na msemo huo mara baada ya kuona na kutafakari kwa kina kinachoendela katika chama cha CUF nikagundua kuna somo kubwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
katika Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru Mhe Mwenyekiti wa CHADEMA (T), KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI Freeman Mbowe (MB) atahutubia TAIFA-WATANZANIA. Hotuba hiyo itarushwa LIVE na...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu wapendwa,wengi wetu tumeshuhudia,au sisi wenyewe kwa namombna moja au nyingine tumehusika moja kwa moja na biashara hii ya uchangudoa!!ombi langu ni kwamba biashara hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kwenye kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Ni keshokutwa siku ya Jumapili. Karibuni.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Madaktari wanapogoma wanasababu za msingi, na mojawapo ni la uboreshaji wa Huduma za afya. Unaweza kuamini Hospitali Yarufaa inayohudumia zaidi ya watanzania milion 9 katika mikoa zaidi ya 5 haina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waandishi wa habari mkoani Iringa wamefanya maandamano yao kuelekea kwa MKUU wa MKOA kwa lengo la kulalamikia kunyanyaswa na Ofisa Habari wa Mkoa huo. Moja ya malalamiko yao ni kunyimwa posho...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Chanzo: Tanzania Daima Mbatia: Ichukieni CCM kwa vitendo na Mwandishi wetu, Tandahimba MWENYEKITI wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amezidi kuwasha moto mkoani Mtwara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napendekeza Baraza hili la Mawaziri la CHADEMA uchaguzi mkuu 2015 ili liweze kutufikisha pale tunapopahitaji Watanzania: 1. Freeman Aikaeli Mbowe-Rais 2. DR. Wibroad Slaa-Waziri Mkuu 3. Ulimboka...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwanza - Kidonda kikipona huwa kovu ambalo haliumi hata likipakwa pilipili. Lakini kidonda sugu huendelea kuuma kila kikitoneshwa hadi hapo dawa itakapopatikana. Leo nimekusudia kutonesha vidonda...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi unajua kwa nini majority of JF members ( ambao ki-msingi ni CDM Caucus) wanachagiza mgomo uendelee? Ni issue ya uchaguzi na manufaa ya kisiasa! Mgomo ukiendelea, media zikaupa coverage...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Taarifa Kwa Vyombo vya Habari: Dkt. Hamisi Kigwangalla Akanusha Kuutaka Uwaziri Thursday, March 8, 2012 OFISI YA MBUNGE, JIMBO LA NZEGA Mhe. Dkt. Hamisi A. Kigwangalla (MB) TAARIFA KWA...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Kutokana Taarifa zilizonifikia punde wakati nikipita katika hospitali zetu za rufaa na Kuongea na baadhi ya Madakatari kuna mpango ambao serikali ikiutekeleza itakuwa kwenye wakati mbaya na...
19 Reactions
80 Replies
8K Views
Thursday, March 08, 2012Mbunge Msigwa Aunguruma Kihesa Wapanga Foleni Kujiunga Na Chadema Kihesa, Iringa, leo Alhamisi. Picha: Francis Godwin
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Sasa kibao kitamgeukia vibaya msajili wa vyama vya siasa john tendwa. Wazee wamesema kwa kumtaka sasa na aje meru awataje hao wazee wote (washili) waliopanga kumuua mbunge lema na viongozi wa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wana jamvi Ni zaidi ya saa 24 sasa tangu mgomo wa madaktari uanze. Je, ni kweli serikali imeshatoa tamko au taarifa rasmi juu ya mgomo au bado. Na kama bado inasubiria nini. Au...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna watu wengi wamekuwa wakihoji kwa nini Waziri wa Afya ajiuzulu? Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nae alihoji swali hili wakati akizungumza na Waandishi wa habari hivi majuzi na akaenda mbali...
1 Reactions
109 Replies
11K Views
Waziri wa Afya Dr Haji Mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo! Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha...
29 Reactions
144 Replies
16K Views
Back
Top Bottom