Utabiri wa Mwalimu unatimia: CUF lazima ife tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa Mwalimu unatimia: CUF lazima ife tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lole Gwakisa, Feb 25, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kutokana na matukio ya kisiasa hasa kwa Nchi ya wenzetu ya Zanzibar,mambo si shwari tena katika Chama cha Wananchi, CUF.

  Mwalimu alitabiri , tena kwa uhakika, kuwa mtu akifanya dhambi ya ubaguzi wa "sisi Wazanzibari dhidi ya waTanganyika ndani ya Muungano. Na kuendelea na sisi Wazanzibaari , wao Wazanzibara ndani ya Zanzibar, dhambi hiyo itawamaliza"

  Kweli kabisa dhambi ya ubaguzi huo tunaiona live katika siku hizi za karibuni.

  Msingi wa GNU, serikali ya umoja huko Nchini Zanzibar imetokana na kuibagua Tanganyika, ambayo haijui lolote juu ya makubaliano yo Wazanzibari.

  Tunakumbuka kuwa makubaliano hayo yalifanywa kwa siri kubwa. vinara wa makubaliano hayo wakiwa Maalim Seif na Aman Karume.

  Dhambi ya ubaguzi imeenda mbali zaidi na imehamia NDANI ya chama cha CUF chenyewe, waasisi wa ubaguzi huo.

  Ni jambo la kushangaza kuwa sasa hata Wapemba NDANI ya CUF wanageukana wao kwa wao.

  Maya zaidi dhambi hiyo iliyokuwa inafichwa fichwa sasa iko wazi kwa maneno ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bwana Jusaa kwamba CUF ni chama cha waislamu na kuwa chama kisicho na misingi ya kiislamu au "wahamiaji" toka bara hawana nafasi huko Unguja.

  Leo hii tunashuhudia wananchi toka pande zote za muungano wakikimbia cham cha CUF kama nyumba inayotarajiwa kuanguka wakati wowote.

  Si muda mrefu tutajua kuwa ile slogan ya " mapanga shaa shaa" itawarudia wenyewe waUnguja kama hawakujirekebisha.
  Kweli Mwalimu aliona mbali!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu ni nwema siku zote anajibu maombi.Hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi wa kidini.Lazima ikutafune tu
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dua ya VINEGA kwa Shetani!
   
 4. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndio hali halisi, kwa ujumla wanasiasa hawa uchwara wamepandikiza vitu vya ajabu sana kwa ndugu zetu wazanzibar!
  Wamewaaminisha matatizo yao yanatokana na sisi,
  Niliposikia hotuba ya Jussa wakati anamshambulia Sitta na tena wakati anamshambulia Tibaijuka nilibaki kinywa wazi..
  Inakuwaje ujasiri huo hautumii kujenga zaidi chama chake...
  Ok labda ndio anajenga, ila kama ndio ujenzi huu basi acha wapigwe na pigo lililowapata wababeli na ujenzi wa mnara wao....
  Nasubiri wapaka malashi maiti inayooza waje kuleta hadithi zao hapa....
  Mtatiro where are you at???
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo kumbe cuf ni shetani!
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ni VINEGA.
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  CUF iko ICU! RIP cuf
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa, CUF isitegemee huruma yoyote toka kwa wananchi wa Tanganyika.
  Hii ni kutokana na kubaguliwa.
  Hila zote hizi za ubaguzi mwasisi wake ni Maalim Seif kwa kushirikiana na Aman Karume.
  Hatujamsahau Maalim Seif kwa kuasisi mapinduzi baridi yaliyomg'oa Aboud Jumbe kama Rais wa Zanzibar, kwa kujidai eti anatetea Muungano.
  Leo Maalim Seif huyu huyu ndiye anaona Muungano ni mzigo na anaingiza ubaguzi.

  Amani Karume atahukumiwa na historia kwa kujiingiza katika dhambi hii.Sidhani kama leo anaheshimika sana huku Tanganyika kutokana na kitendo chake cha kukubaliana na Maalim Seif/CUF kuibagua Tanganyika.
  Mpaka leo GNU haijulikani vyema huku Tanganyika na hatimaye malengo yake.

  Ni jambo la kushangaza kuwa hasimu wa Sif, Nd Hamad anaelekea kupata sympathetic assistance toka Tanganyika, kitu kinachoashiria kuwa siku za Maalim Seif huku Bara zinahesabika.

  Kwa kifupi, dhambi ya ubaguzi inaimega Zanzibar na itaendelea kufanya hivyo mpaka watu wa busara watmbue kuwa amani na utulivu Zanzibar kwa miaka yote haiwezekani bila Tanganyika.
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Hii inaonekana ni plan ya muda mrefu ya kuua upinzani Zanzibar.. Wanasiasa uchwara kama Jussa wanaendelea kufaidika ni huu msuguano. Jussa atakuwa anakula CCM analala CUF.
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu CHADEMA mnadhani watanganyika wote wana akili kama za kwenu VINEGA! You are not majority! Get this into your big skulls!
   
 11. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napita
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  SADAT! Hapa umenikumbusha kitu,huyu **** si ndiye aliwahi kuwa mbunge mteule wa rais? Naomba unikumbushe.Namimi nakukumbusha hii ya Jk1'VYAMA VINGI NI MIGOGORO LABDA MUWE NA VYAMA VIWILI HIVI AMBAVYO VITASHINDANA KWA HOJA,KADHALIKA UKIONA CHAMA KICHANGA KINASIMAMISHA MGOMBEA WA URAIS BASI FAHAMU KWAMBA CHAMA HICHO KINA WATU WENYE UCHU WA MADARAKA NA WAOGOPWE KAMA UKOMA'.MANENO HAYA NAOMBA WATU WAYATAFAKARI KWA UMAKINI MKUBWA ILI USHUHUDA WA JK1 UWE KWA ALIYEONA.ALIYESIKIA,ALIYESALIMIANA NA JK1 SIKU ILE NA ATAKAYE AMINI MANENO YAKE. AT THE END CDM ALLIENCE VS CCM OVEMENT.MAONO NA MTAZAMO WANGU TU.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwamba KAFU ni chama cha ubaguzi sipingani na wewe hata kidogo.
  Ila hizo lawama ulizommwagia karume naona hujamtendea haki mkuu
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,919
  Trophy Points: 280
  Dhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu.

  Palipopandwa bange patavunwa bange.
   
 15. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Kweli kaka, hapo mwanzo tulidhani kila Mtanganyika ana akili kama sisi, lkn baada ya kuona CCM imeshinda tulibaini kuwa kuna watu huku Tanganyika wana akili finyu na ndio siri ya ushindi wa CCM.
   
 16. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Afadhali yake ni nini, Elimu kubwa aliyonayo ?
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Aisee!
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa Wazanzibari hawaangalii kufa kwa CUF wala CCM zaidi wanajikita katika kuisimika Jamuhuri ya watu wa Zanzibar iliyo huru kabisa! Mutake musitake kuingia kwa CUF ndani ya Serikali hapa Zanzibar mambo yamekua tofauti kwa mustakabali wa Zanzibar, Wazanzibari na Uzanzibari! Sio siri Raia wengi wamepatwa na hamu na shauku kubwa hususan katika kutaka kuikomboa Zanzibar iliyo huru! Nyinyi leteni majungu yenu munavyopenda ila ipo siku historia itakuja kuwasuta. Leo saa 10 jioni tunawaalika muhudhurie Lumumba muje mushuhudie jinsi Wazanzibari walivyokua wamoja kwa sasa, tofauti na Tawala zote zilizopita. Zanzibar Daima Mbele. Am proud to be Zanzibari! Watanganyika mwaka huu imekula kwenu, kilichobaki kwenu ni kupika majungu tu dhidi ya Wazanzibari. Nchi kwanza mambo mengine baadae. Vyama vinakuja na kuondoka lakini Zanzibar ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo!
   
 19. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka una matatizo gani wewe! Naona michango yako yote lazima uweke UDINI! Jirekebishe kabla haijafika siku yako ya kuumbuka.
   
 20. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kuongozwa na Mizimu hili!!!
   
Loading...