Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza...
Tanzania sio maskini ila watanzania ni maskini! Watanzania ni maskini 100% kwa sababu ni wavivu wa kuwaza, watanzania wengi tumewapa viongozi wetu jukumu la kuwaza kwa niaba yetu, tunayaamini...
Ezekia Wenje
'Ladies and Gentlemen, brothers and sisters, for the love of our country, for the love of Mwanza and for the love of my people, and for the sake of accountability. I started an...
Kumbukumbu zangu ni kwamba leo ilikuwa iwe maamuzi ya kesi ya Hamad Rashid na wenzake kupinga maamuzi ya kufukuzwa uanachama.
Yeye mwenyewe kule jimboni kwake aliahidi kwamba baada ya maamuzi ya...
Nimeona tuangalie tulipotoka na tulipo, na kuangalia japo juu juu sifa za Marais walioitawala tanzania na ni nini walichokiacha kwenye fikra za watanzania na nini cha kujivunia kwa utawala wao...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, na watendaji wengine, wamewasili jimboni Arumeru Mashariki kusikiliza na kuamua rufaa ya pingamizi iliyowasilishwa na...
Kawaida siasa inatakiwa kuwa na mabishano ya hoja,huyu anatoa hoja huyu anaipingi au kuibali kama ina masilahi kwa Taifa.Lakini kutokana na majungu,makundi na vijembe mtu akitoa hoja ya msingi...
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema mbunge mmoja wa chama chake ni sawa na...
Tunakumbuka hotuba aliyoitoa Mkuu wa Kaya kwa wale makada walioifikisha nchi hii hapa ilipo... aka Wazee wa Dar jana ni kama ya nne hivi tangu Jk aingie pale magogoni. Mimi nimeshangazwa sana na...
Uongozi na siasa
Viongozi wa utangulizi ni watu ambao wako tayari kujitupa wenyewe, bila kujali hatari yote inayoweza kujitokeza mbele yao, wakisonga mbele ili kugundua na kufikia malengo ya...
Nikiwa nekanyaga ardhi ya DAR kutoka Arumeru ambako nilikuwa katika uzinduzi wa kampeni za CCC nimekutana na Taharuki kubwa iliyowakumba watumiaji wa daladala kutoka ubungo kwenda Tegeta baada ya...
Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo;
1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote...
Migogoro na migomo mingi huwa inasababishwa na kulea matatizo. Laiti matatizo yangekuwa yana tatuliwa maramoja yanapotokea migogoro ingepungua sana. Kuna taasisi moja katika wizara ambayo hivi...
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick na kushoto ni...
Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa...
************************
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema ataitisha uchaguzi mkuu ikiwa hakuna Katiba mpya wakati huohuo jeshi la nchi hiyo limesema halitaki kutambua kiongozi mwingine...
Wanabodi, niko ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kuwa update huu mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa Darisalama.
Ukumbi umeshiba, viongozi wengi wameshawasili, JK anatarajiwa kuingia...
George Frederick Mbowe aliyefariki nyumbani kwake usiku wa Februari 29, 2012 kutokana na ugonjwa wa Kiharusi.
Enzi za uhai wake, nilimfahamu Marehemu George Frederick Mbowe kama mtu aliyejituma...
Ili kuwa fair nitawaletea picha za uzinduzi wa CCM...kama kuna ambae ameshafika sehemu ya tukio atupie hapa....
Orijino komedi jana walitoa burudani tosha...
Je una hitaji kujua nani...