Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ili kuwa fair nitawaletea picha za uzinduzi wa CCM...kama kuna ambae ameshafika sehemu ya tukio atupie hapa....

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

View attachment 49176View attachment 49177
View attachment 49174View attachment 49175View attachment 49178
orijinokomedi.jpg
Orijino komedi jana walitoa burudani tosha...
Je una hitaji kujua nani kamfunika mwenzake pitia hapa kwanza kabla hujajibu Uziduzi wa kampeni za chadema Arumeru hakika CCM haina chake jimbo la Arumeru
 

Attachments

  • CCM4.jpg
    CCM4.jpg
    57.9 KB · Views: 4,006
  • CCM5.jpg
    CCM5.jpg
    52.2 KB · Views: 3,671
  • GARI.jpg
    GARI.jpg
    45.9 KB · Views: 3,615
  • GARI1.jpg
    GARI1.jpg
    32 KB · Views: 2,713
  • CCM1.jpg
    CCM1.jpg
    52.7 KB · Views: 3,620
  • 2012-03-12-072[1].jpg
    2012-03-12-072[1].jpg
    7.1 KB · Views: 309
Mkuu tunakutegemea kwa update, nipo hapa corner nirobi nimekutana na lori na cruisers zikitokea Monduli kuelekea Arumeru. Watu waliobebwa kwenye Lori wanaonekana wamechoka sana.
Watakuwa wameambiwa kuwa "Chakula mtapewa hukohuko"
 
Nasikia wanasombwa na malori tangu jana hadi leo.Wapo waliotoka Monduli,Loliondo mpaka wapare wapo.

Viherere hawakosagi..hata hapa Bukoba waliondoka juzi kuja huko........eti ni wajumbe......mjue hao wanakuja kupewa shahada zilizonunuliwa kuwapigia kura Magamba.
 
utakuwa umeshapewa commission na Mwigulu. Tahadhara ya kutosha kwa mkeo crash

Acha uchuro wewe lazima ujue formation za mpinzani wako ili ubadili strategy...za mashambulizi.........sasa wewe unataka tukariri tulichokiona kwetu CDM kisha tusiangalie the other side kuna nini? Wewe yawezekana ndo umekula cha Mwigulu ili utu demoralize. Muone kwanza Ntamaholo wewe..........okotolwa........nyanebe
 
watu ni wengi kweli kweli,wabunge mbali mbali wa ccm wamesambaa jimbo zima kata zote
 
Mkuu tunakutegemea kwa update, nipo hapa corner nirobi nimekutana na lori na cruisers zikitokea Monduli kuelekea Arumeru. Watu waliobebwa kwenye Lori wanaonekana wamechoka sana.
Mimi niko hapa maeneo ya mianzini imepita kenta wamejazwa wamama walovaa nguo za kijani na njano nao wanapelekwa kuzindua Arumeru...


hawa nasikia wamezolewa maeneo ya ungaltd.
 
nakwambia ni kijani kila mahali,kuanzia kikatiti hadi sanawari na philips
 
Back
Top Bottom