Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by AdvocateFi, Mar 3, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho, pia na matumizi ya mbinu za kuwagawa wananchi kwa ukabila huko arumeru, Mhe sitta ametabiri ushindi wa chadema kwa kusema ni chama ambacho kinatumia demokrasia ya kweli hata ktk mchakato wa kura za maoni pia amesema kitendo cha kumchagua mzalendo Nassari huo ni uthibitisho tosha kuwa chadema itashinda arumeru.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Source...?:A S-coffee:
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ningependa mshindi awe aliyestahili, na binafsi i like CHADEMA ishinde ingawa i respect SIYOI a lot, ila hizi nuksi za huyu baba sizipendi

  He should either leave CCM or shut up
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ushindi kwa cdm hauitaji utabiri! Ni dhahiri kabisa!!!
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,136
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  tunasubiri mshindi wetu Nassari atangazwe ifikapo Aprili.
   
 6. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sitta ni CCM-Masalia au CCM-Asili?
   
 7. o

  otorokoko JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 2,438
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha kumbe hadi daktari Samwel sita anajua cdm inashinda.
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  source ni moja ya wabunge wa ccm tabora ambaye hakuta kutajwa jina.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi ukitabiri usiku kutakuwa na giza utakuwa umepatiae.:lol:
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo baada ya hii nngwe sidhani kama ataendelea kubaki ccm
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,536
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  sita mbona haeleweki nani ambaye sio mzalendo.kama sioi sio mzalendo si aweke pingamizi tu.Huyu dingi inaonekana anakata tawi mti aliokali kama haitaki ccm si ahame rasmi au anataka huruma ya watanzania mbona mwenzie mpendazoe yuko nje ya ccm.mzee sita ukita ueleweke hama ccm hueleweki au ndio baniani mbaya .....,..
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uo sio utabiri,mtu akisema kweli siyo utabiri........................
   
 13. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kutabiri = Ku wish ...................??????
   
 14. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160

  Mkuu kama una CV ya huyu Siyoi utuwekee hapa plz
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  uongo mtupu, tupe source
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Sitta, siku hizi kachukuwa mikoba ya Sheikh Yahya?
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huyu mzee na mwenzie Mwakyembe hawaeleweki kama ni wa moto au bAridi!...What i conclude is that they are not confident!
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  teh teh teh labda kama shehe Yahya angekuwepo angeweza kukujibu
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha very funny!

  Kwakuwa kambi yao imebwagwa ndio wanalia lia.
   
 20. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii habari imekosa misingi ya kiuandishi wa habari kozi haina source ya kuaminika bora niite hekaya za abunuasi
   
Loading...