George Frederick Mbowe hatunae tena, JK atuma salamu za rambirambi

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
frederik%2Bmbowe.jpg


George Frederick Mbowe aliyefariki nyumbani kwake usiku wa Februari 29, 2012 kutokana na ugonjwa wa Kiharusi.
Enzi za uhai wake, nilimfahamu Marehemu George Frederick Mbowe kama mtu aliyejituma
kikamilifu katika utekelezaji wa majukumu yake kitaifa na mchapakazi hodari,...... amebainisha Rais Kikwete katika salamu zake.

Amewahi kufanya kazi katika:-
1.Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB),
2.katika nyadhifa za Mkurugenzi Mtendaji wa
3.Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB),
4.Mwenyekiti wa PSRC na
5.Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Mungu ampe mapumziko mema.Amen
 
Dah ndo yaleyale presha zilikuwa juu nikifikiri m2 ninayemfaham kumbe! Dah anyway safari njema huko uendako Baba yetu,
 
Mungu wangu mmoja kati ya maidol ninaowaadmire Tanzania kwa uchapakazi ni huyu mzee. RIP mzee wetu ulikuwa an exemplary banker and leader. Pole kwa ndugu na jamaa wa wafiwa.
 
Please heading iendane na mhusika mwenyewe!! Inaleta mshtuo!!
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIPEWE SIFA!!
R.I.P.
 
frederik%2Bmbowe.jpg


George Frederick Mbowe aliyefariki nyumbani kwake usiku wa Februari 29, 2012 kutokana na ugonjwa wa Kiharusi.


Amewahi kufanya kazi katika:-
1.Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB),
2.katika nyadhifa za Mkurugenzi Mtendaji wa
3.Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB),
4.Mwenyekiti wa PSRC na
5.Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Mungu ampe mapumziko mema.Amen

Ahsante kwa taarifa ila tafadhari heading ya habri yenyewe inatisha, jaribu kubadirisha specify 'George Mbowe hatunaye tena'.
 
Newz imekaa kigegereka sana hii mi nikajua MBOWE kamanda??
 
Back
Top Bottom