Mgomo mkubwa wa Madereva wa Daladala ya Ubungo Via Mwenge to Tegeta Unaendelea hapa eneo la Ubungo

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Nikiwa nekanyaga ardhi ya DAR kutoka Arumeru ambako nilikuwa katika uzinduzi wa kampeni za CCC nimekutana na Taharuki kubwa iliyowakumba watumiaji wa daladala kutoka ubungo kwenda Tegeta baada ya madereva wa daladala kuanza mgomo leo asubuhi. Maelfu ya watumiaji wausafiri huo sasa wanazagaa maaeneo haya ya ubungo wasijue la kufanya huku wengine wakianza kutumia usafiri wa NOAH zinazotoza nauli ya TSH 5000 hadi tegeta huku wengine wakipanda malori ya mchanga.

Chanzo kikuu cha Mgomo huu cjakipata ila najitahidi kuwapata madereva ili niweze kufanya nao interview
 
NI KWELI NA MIMI NIMEPATA HIYO ADHA WALE JAMAA WAMEGOMA KWA SABABU JK AMETO HOTUBA CHAFU JANA,KWA HIYO WAMESEMA WATAGOME MPAKA WAZIRI WA USAFIRISHAJI OMMY NUNDU HOME BOY CHALINZE ONE AJIUZULu
 
Kazi ipo wamebaki watu gani kugoma ili sasa tuunganishe nguvu sekta zote na sasa kumshinikiza JK ajiudhuru maana ndo anawajibika kwetu moja kwa moja
 
Kama kweli wamegoma, mie nawaunga mkono! Ili watu watembee kwa miguu kwa siku hata mbili tu, kama hakitanuka! Ndio rais wetu atakapoona alipokosea.
 
Kama kweli wamegoma, mie nawaunga mkono! Ili watu watembee kwa miguu kwa siku hata mbili tu, kama hakitanuka! Ndio rais wetu atakapoona alipokosea.
Mh! mbona akinamama walimshangilia na kupiga vigelegele huku wakisema watatembea na kufika waendako bila shida!
 
Aghh! Sasa wabongo tumezidi na ma migomo! Kitu kidogo tu mgomo! Tutafika wapi? Tusiige ovyo mambo ya nje. Ubwege tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom