Siasa za BONGO ni majungu, makundi na vijembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za BONGO ni majungu, makundi na vijembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma Bundala, Mar 13, 2012.

 1. J

  Juma Bundala Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kawaida siasa inatakiwa kuwa na mabishano ya hoja,huyu anatoa hoja huyu anaipingi au kuibali kama ina masilahi kwa Taifa.Lakini kutokana na majungu,makundi na vijembe mtu akitoa hoja ya msingi atapingwa na kupigwa vijembe visivyo na kifani, mfano katika mchakato wa kutengeneza katiba mpya WABUNGE wa UPINZANI walipeleka mapendekezo kuhusu marekebisho ya katiba WALIKUBALIWA na MH RAIS kutokana na makundi yaliyopo ktk siasa za Bongo mapendekezo yaliyomengi yalipingwa na wabunge wa CHAMA TAWALA bila kujali umuhimu wa hoja hizo.

  Ili tuwe na maendeleo endelevu hatuna budi kumaliza majungu,makundi na kuacha vijembe. SOURSE KIKAO CHA BUNGE KILICHOPITA Naomba kuwasilisha.
   
 2. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Rekebisha hapo kwenye red, kabla ya kupost jaribu ku-preview., pia unaruhusiwa kutumia lugha ya taifa:
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ni kweli siasa za bongo ni za majungu na fitina zas y hata CHADEMA wameamua kufanya harakati kwa kutumia vichwa kama Kamanda lema, Tundu lissu etc, so kwa serikali kiziwi na inayoongozwa na chama pumbafu kama CCM basi ni lazima itumike harakati kwani kiboko ya siasa za majungu na fitina ni kufanya harakati tu na so kingine, Mfano tunao mifano mingi ya wana siasa walofanya harakati na kufanikiwa sana lakini baada ya kulewa sifa wakacha na kufanya siasa pekee na hatimaye mapka leo washachoka ile mbaya kisiasa mfano maalim seif, Pia kuna wanasiasa kwa mfano G.lema yeye kawa tishio sana kwa CCM bkoz anatumia harakati zasy wakamtishia asihudhurie Arumeru koz wanamjua kuwa yeye ni moto mkali kwa harakati zake.
   
Loading...