Sasa Hamad Rashid njia nyeupeeee kwenda ADF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa Hamad Rashid njia nyeupeeee kwenda ADF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Mar 13, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Ni baada ya Prof. Lipumba kumtema rasmi jana. Hata hivyo ataendelea kuitumikia CUF kwa nguvu za mahakama!
   
 2. kiagata

  kiagata Senior Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Kama kweli Mh.H.Rashid anaondoka CUF kwa hiari yake ya moyo,sidhani kama atatumika kwa hiari ya moyo CUF tena kwa nguvu ya mahakama.Hiki ni kkini macho.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CUF Ni kama koti likikubana walivua tu
   
 4. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni posho na kiinua mgongo kupotea, si unajua tena mkuu mkono mtupu haulabwi!
   
 5. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Every thing is come and go. so it's their time CUF to go. R.I.P CUF!!

  Tuliwapenda lakini magamba wamewapenda zaidi.
   
Loading...