Gerald
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 290
- 46
Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo;
1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote vya kupigia kura hii itawasaidia kutotokea kwa mbunge kurubuniwa (rushwa) au udanganyifu wowote ambao kila siku tunausikia hapa.
2. Hii itaweka wazi kuwa ni kweli CCM huwa wanacheza rafu, kusaidiwa na nec,uwt or police? Kwasababu kama wanawatisha wasimamizi wenu au kuwaonga sidhani kama wataweza kufanya hivyo kwa hao wabunge au viongozi wenu.
3.Hii italeta taswira yoote ya hayo tunayosikia hapa jf ili baada ya uchaguzi na majibu kutoka tujue ukweli ni upi.
Nawakilisha.