Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna atakayefaidika nalo hasa kwa wale wananchi wa kijijini ambao ni masikini wa kutupwa!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JK alionekana ni tumaini kubwa kwa vijana wan chi hii wakati anajitayarisha kuingia madarakani. Mapema mwezi May 2005 aliporudi Dar kutoka Dodoma baada ya CCM kumteuwa kugombea urais msafara wake...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Hivi, wazee wa dar wakiumwa watakimbilia wapi? Au ndo kukosa maarifa? Maana ni ukweli usiopingika katika watu ambao wangetakiwa wawe mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya madaktari basi ni wao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM walipanga kurusha uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa arumeru live kupitia STAR TV, imethibitila imeshindikana. Kushindikana huku pamoja na kuwa mmiliki wa kituo hicho ni kada wa ccm kunatokana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM ili kupiku umati ulikuwa siku ya uzinduzi wa kampeni ktk uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki,CCM wamegharamika kwa kukodi bodaboda zote zikusanye watu tumeshudia leo msulululu wa bodaboda kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Inaelekea uzinduzi wa kampeni za Arumeru in aibu maana TBC1 haijaipa coverage yoyote, habari za nymbani zimeisha sasa ni habari za kimataifa!!!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Umati wa wafuasi wa Chama cha CUF umejitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili akitokea Marekani ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATATU, 12 MACHI 2012 05:46 NA JOHN MADUHU, MWANZA WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametamba kuwa yeye ni chuma cha pua na kuwataka wananchi wasichague viongozi kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ni Jumatatu usiku. Siku inaelekea ukingoni. Naandika nikiitafakari siku ya leo. Kwangu haikuja na jipya. Ni yale yale. Moja kubwa ni dhahiri, kuwa Watanzania bado tuna safari...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiongozi wa kiwango cha Tendwa anapaswa kuwa na upeo wa hali ya juu katika utoaji wa tamko na kabla hajatoa tamko anatakiwa kufanya tathmini ya kutosha na kujiridhishwa kwamba anachosema kina...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Kutokubalika kwa Waziri wa afya na naibu wake kulikosababisha madaktari wampe JK masaa 72 kuwaondoa katika wizara hiyo ni pamoja na waziri kuwaita interns madaktari wanafunzi. Kwa mliopitia...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Nimesikitishwa na mbwembwe alizokuja nazo Ibrahim Lipumba. CUF wameona wanakufa wakaanza mmbwembwe. Heri JK hakuja kumpokea. Hii ndo maana watanzania hatuendelei. Kitu kidogo kelele kibao, Wapo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
"Yani mie sahz nataka pesa tu,aniboreshee maslahi yangu,wagonjwa wakilala 60 kitanda kimoja shauri yao,na kama vifaa havipo cjigusi,hata mtindo wa kuazma bp machne wodi ya jirani naacha,yani...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
BBC imeripoti kuhusu Raisi kuongea na wazee wa Dar es salaam. Ila nimeguswa na comments moja ambayo mwandishi wa BBC aliyeko Dar es salaam amesema kuhusu Mawaziri. Amesema kuwa anashangaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninashindwa kuelewa serikali inavyochezea madaktari. Yawezekana huu ukawa mpango wa mafisadi wawachokoze madaktari ili wazile kuwatibu walalahoi. Wao na watoto wao watatibiwa nchi. Halafu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Chadema kimekusanya Sh8 milioni kutokana na harambee ya kukichangia iliyoanza juzi katika uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alisema fedha...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
wa kwanza kulia mwenye kofia ya njano na suti ya kijivu na shati la bluu ni mzee SUMARI, mkuu wa washili wa koo zote za meru, anatoka ukoo wa Sumari na pia anaishi jirani kabisa na nyumbani kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom