Jeshi Zimbabwe halitaruhusu Mugabe asitawale hata akishindwa uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi Zimbabwe halitaruhusu Mugabe asitawale hata akishindwa uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Mar 12, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ************************
  Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema ataitisha uchaguzi mkuu ikiwa hakuna Katiba mpya wakati huohuo jeshi la nchi hiyo limesema halitaki kutambua kiongozi mwingine yeyote.

  Waziri Mkuu wa nchi hiyo Morgan Tvsangirai amesema viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo wamemwambia hawatamruhusu mtu yeyote isipokuwa Robert Mugabe kuongoza nchi hiyo, bila kujali nani anahsinda uchaguzi.

  ************************
  SOURE: MWANANCHI
  ISSN: 0856-7573, Na. 04275
  DATE: MARCH 11, 2021
  PAGE: 08

  ************************
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mbona ndio ilivyo toka zamani! Haijalishi anapata kura ngapi anaendelea kutawala na ni wazi jeshi linafaidi pamoja naye.
   
 3. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaongea la Zimbabwe kwa kuwa liko open, je la Tanzania liko tayari ikiwa atashinda mtu wa upinzani?. Tafakari!
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kibri ya CCM si uslama wa Taifa ni JWTZ .
  JWTZ limejaa makada wa CCM

  Sisi wananchi tukisema basi hakuna cha JWTZ wala nini.
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mungu ndiye atayewahukumu wanaotawala wananchi wao kwa mabavu
   
Loading...