Mwenyekiti NEC,Jaji Lubuva atinga Arumeru,CHADEMA chunga sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti NEC,Jaji Lubuva atinga Arumeru,CHADEMA chunga sana

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by OKW BOBAN SUNZU, Mar 13, 2012.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,886
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, na watendaji wengine, wamewasili jimboni Arumeru Mashariki kusikiliza na kuamua rufaa ya pingamizi iliyowasilishwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joshua Nassari dhidi ya Sioi Sumari wa Chama cha Mapinduzi (CCM)....Chanzo:Tanzania Daima
  Wadau wote wa CDM chungeni kwa ukaribu sana nyendo za hawa ma-agent wa magamba, wanaweza kuwa wanatembea na brifcase yenye jina la mshindi kabla hata ya uchaguzi
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Jirani, Wameru ni watu wa aina yake. Sio watu wa kuporwa haki yao and then wanyamaze. Fuatilia kidogo historia ya Wameru and then utawatambua ni watu wa aina gani.Of course magamba wamejaa ktk system nzima ya NEC lakini tutapambana nao hadi tone la mwisho la damu.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  simu yangu haina kitufe cha like, mod please muongezee nampa huyu mnyisanzu likes mbili.
   
 4. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ngoja tuone kama bado anaendelea kuwa jaji wa kutumwa au atatumia njia ya mbayuwayu
   
 5. O

  Omr JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtafanya nini nyie, hao wameru wana nini kilicho zidi watanzania wengine? wabongo wanajulikana, domodomo nyingi lakini hakuna chochote, hapa hakuna wizi wa kura ila ni ushindi wa haki kabisa kwa CCM. Halafu huu mkara wenu CDM mjaribu kufanya kweli ndio mtajua serikali ni kitu gani. Siku hizi ni za moto tu.

  Msitake kuwapandisha chati hao wanakijiji na vimshale vyao. Tunagawa kofia, kanga na wali halafu tunachukua kura. Tena nyie wanyampaa ndio wepesi kweli kudanganyika.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kubakizwa nyumbani kula tende,harua na ubwabwa ni kubaya sana. Hata shule za kata zilikushinda! Halafu nani huwa anakuingiza humu JF?
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haahaha sasa mnamuogopa hata msimamizi wa uchaguzi? Hivi kuna mtu mwenye heshima zaidi ya judge au mlitaka makamba awe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi?
   
 8. O

  Omr JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mhutu nini? naona kiswahili tabu kidogo.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kahawa na kashata!
   
 10. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Tumuone mara ngapi? Ameshaanza kutoa hukumu za kukandamiza demokrasia, amekataa mtu yeyote asipige kura ambae hakujiandikisha toka 2009

  Ina maana kama ulifikisha miaka 18 siku moja baada ya daftari la wapiga kura kufungwa mwaka 2009 inabidi usubiri mpaka next time around, mwaka 2015 nadhani, kujiandikisha. Miaka mingapi hiyo, sita! Ukitimiza miaka 18 inabidi usubiri miaka sita kabla ya kuanza kupiga kura!
   
 11. O

  Omr JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umekosea number mangi, hapa ni Ugali wa dona na maziwa ya mgando
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,886
  Trophy Points: 280
  ogopa sana sinia moja ya bokoboko na nyama 3 linakuwa scrumbled na watu 20, hunawa wakimaliza kula, kabla ya kula huwa hawanawi
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kadadeki zao CCM wasituletee ukinega wao Arumeru, sisi Chadema tunafanya siasa na harakati sasa kama wanbisha wataona wakifanya u.s.e.n.g.e Arumeru, Tutawaua wao na police kwa vita baridi kama ilotekea misri." LUBUVA TAKE CARE BKOZ CHADEMA SISI NI WANAHARAKATI NA HATUONI TABU KUPOTEZA DAMU YA F.A.L.A HATA MMOJA KWA AJIRI YA HAKI.
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  You sound like our House boy back n 1983, alikuwa anapenda kula ugali utafikiri atakufa kesho yake......exactly kama wewe!!!
   
 15. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  LUBUVA na mke wa LOWASA ni mtu na dada yake, kwa hiyo hawezi kuamua haki, lazima amtetee mkwe wake SIOI


   
Loading...