Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The way things are going on in our nation there is a need for a national conference to evaluate the last 50 years and lay a plan for the next 50 years.This national conference will involve experts...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
kwa wale mliopo arumeru mmeweza kushuhudia uzinduzi wa kampeni za vyama hivi viwili chadema(siku ya jumamosi) na CCM(siku ya jumatatu).sitaki kujikita sana kwenye shamrashamra za uzinduzi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mgombea wa kiti Cha ubunge katika Jimbo La Arumeru Mashariki(CHADEMA)Joshua Nassari,jana katika Viwanja vya Patandi(Tengeru) ameendeleea kuchangiwa shillingi hamsini na mia mia katika Mkutano wa...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Kila ukikaribia uchaguzi mkuu na miezi kadhaa baada yake kunakuwa na kelele nyingi kuhusu ubovu wa tume ya uchaguzi, lakini kelele hizi hupotea kabisa na kutokupewa tena umuhimu mpaka wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Anyway tbc wako hewani nahisi huyu mpuuzi wametuletea ili kuchafua hali ya hewa msimaizi huyu amesema ameitupilia mbali kesi ya kupinga uraia wa sioy anaegombea kwa niaba ya ccm alipoulizwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na utaratibu wa kuweka watoto wa viongizi kwenye nafasi mbambali za nyama. Ukweli ni kwa hawaonekani kama wanafurahia badi ni kama wamelazimishwa kwa kunufaisha na kufurahisha familia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyama vya upinzani vinaweza kufanya shughuli za maendeleo katika majimbo ambayo wanayashikilia bila kutegemea fedha toka serikalini. Tunaweza kupata maji ya uhakika, umeme, miradi midogo midogo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
GAMBA LA CCM LIMEOTA SUGU?zilikuja kelele nyingi sana maamuzi ya kamati kuu ya CCM yalitamka chama hakina budi kurudishwa katika misingi na sifa zake,tamko likaonyesha chama kinahitaji kuzaliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ninaomba mtu mwenye cv ya mbunge wa bukene nina shida nayo ndio mchakato uleule wa kupunguza magamba 2015
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau wa jf nimepitia kwenye tovuti ya bunge cv za waheshimiwa Adam Malima na Mwigulu Nchemba nimeona hawa wote wawili ni wachumi na wameshawahi kufanya kazi katika taasisi kubwa ya fedha nchini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na majigambo yakiambatana na matusi dhidi ya vyama vinavyoelekea kuimarika kisiasa hapa TZ. Matusi hayo hutoka kwa viongozi mbalimbali wa ccm pamoja na wale waandamizi kama Rais na...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Wana Jf, Habari za kuthibitisha zinasema Sioi Sumari amemshinda mwenzake William Sarakikya katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo Arumeru Mashariki. Sumari ameshinda kwa kupata kura 761, huku...
2 Reactions
330 Replies
32K Views
hv jamani kweli kabisa hadi leo miaka 50 ya uhuru umeme bado unakatika mji mkubwa barabara mbili aibu kama vp tuwafilisi tu viongozi wote waliopita...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
..nimetembelea kule na sijaona picha wala habari za ujio wa Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba. ..mbona habari za Maalim Seif, na Ismail Jussa, zinapewa coverage ya kutosha? ..je, huu ni muendelezo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bongo tumezoea longolongo. Ah mwenzangu maisha bora kwa kila mtanzania mjomba ati. Madaraja ya juu kwa juu ilikuwa kauli mbiu ya Kikwete kwenye kampeni uchaguzi Mkuu uliopita. Kwa sasa imebaki...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Inasemekana madaktari waliokuwa kwenye mgomo wamepatiwa barua zinazowataka kukiri kuwa walikuwa kwenye mgomo na kuwa hawatojihusisha na mgomo kwa mara nyingine. hata hivyo mkurugenzi alipewa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutoka gazeti la Mtanzania NCCR- Mageuzi kuandamana Mtwara Jumamosi, 10 Machi 2012 09:23 Na Mwandishi Wetu, Newala CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kinatarajia kufanya maandamano ya amani Mjini Mtwara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF mliopande za Arumeru east leo tafadhali tupieni hapa matukio na habari za kampeni zilizojiri leo hii huko Arumeru. Tujuzeni leo CCM na Sioi wao wanashambulia pande zipi na Chadema na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo. Siri ya JK, madaktari Ikulu yafichuka Monday, 12 March 2012 Kizitto Noya | Mwananchi MADAKTARI wametoboa siri ya mazungumzo yao na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake. Sababu kubwa...
2 Reactions
87 Replies
12K Views
Back
Top Bottom