Kikwete akiongea na wazee wa DSM aliwalaumu wanaharakati kuunga mkono mgomo wa madaktari!
Huu ulikuwa upotoshaji mkubwa kwa kuwa wanaharakati wakiongozwa na Ananelia Nkya waliandamana...
Kwa kuwa CCM wameanza kwa kampeni chafu huko Arumeru kupitia kwa Mkapa, basi naomba Chadema wammalize fisadi huyu, hadi ajute kabisa kuzaliwa. Pia ajute kwa kupanda majukwaani huku ameunyaka...
Ndugu zangu zimezuka hoja nyingi humu jf kwamba hujadiliwa mno watu na matatizo yatokanayo na WATU…..mfano ufisadi etc…na kusahau hoja zinazohusu mifumo/sera……..
My...
Tafadhali ndugu zangu naomba kufahamishwa mbunge wa Dodoma mjini anaitwa nani? Kama kuna mtu ana contacts zake tafadhali ziweke javini nina maswali machache nataka kumuuliza.
Ni kweli kabisa alivyosema mh. Mbowe kuwa mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 30 wa CCM.
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wabunge wa ccm (walio wengi sio wote) ni very weak? hawajui...
Kwa jinsi ambavyo ndugu zangu, wanachama na washabiki wa CUF wanavyoupamba uprofesa wa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF napatwa na shaka.
Sitaki kuamini kwamba uprofesa wa mtu ndio unampa...
Tukiwa ni wakazi wa Arusha tunakubaliana kwamba Arusha ni ngome ya CDM. Arusha ni jiji ambalo linaingiza pato la kutosha kwa Taifa. Lakini ndilo jiji pekee Tanzania ambalo halipangiki, halina...
Mojawapo ya vitu ambavyo labda vitahitaji majibu baadaye ni kwa vipi CDM wakati wa uzinduzi wao hawakumgusa kwa uzito unaotosha aliyekuwa Rais wa Tanzania wakati matukio mazito ya ufisadi...
Nimetafakari kwa kina nimeona niliwasilishe suala la mfumuko wa bei kwenu wanaJF ili tulijadili huenda likaishtua Serikali yetu inayoitwa sikivu.
1. Mfumuko wa bei za Vyakula
Bei za vyakula...
Katika kataba mpya ya Tanzania, Watanzania tuingize kifuatacho. Mtuanapiga kura endapo amri wa miaka 18 au zaidi. Basi kuwe na umri wa mwisho wa kupiga kura.
Kama ilivyo kuwa mtumishi wa uma...
Mara nyingi hainiingii akilini pale huyu Mh wetu anapowaalika watu kwa mazungumzo na majadiliano ya mwafaka wenye Mstakabali wa Kitaifa halafu pale wahusika (yaani wawakilishi wa wenye kilio)...
Baada ya CHADEMA kupiti kwa mgombea wake Joshua Nassari kumpinga Siyoi kuwa siyo raia wa Tanzania, Mkurugenzi wa Uchaguzi jimbo la Arumeru ametupilia mbali pingamizi iliyowekwa na wagombea wa...
Nadhani ni muda mwafaka kwa CDM kukabiliana na janja wanazotumia CCM katika chaguzi mbalimbali, kulalamika tu haitoshi, nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kutokana na chaguzi zilizopita...
Ukiwafanyia tathmini ya haraka haraka, utagundua kwamba kila mmoja ana mapungufu yake!
Hata hivyo kwa uchache ni kuwa: JK ni mzito wa kuamua, mzito wa kutekeleza na mwepesi wa kusahau!
PM Pinda...
Hivi imekuwaje mpaka watanzania walio wengi wameugua ugonjwa wa uchaguzi? Imekuwa kila kukicha mijadala mikubwa ni ya uchaguzi-chaguzi tu? Mara vyama: Magamba hapa, Chadema pale, CUF nao ...
Ungekuwepo uone namna chadema inavyokubalika kwa sasas!...mzee fisadi alikuwa na wa2 wachache na hoja za kijinga eti siasa za kuchafuana?....kama unaiba maliza wa tz tusiseme?....mzee wa kutabadam...
Ndugu wanajf nchi ya Uganda imeanza hivi karibuni kujihusisha na uchimbaji wa raslimali mafuta. Ilihali Tanzaia kwa zaidi ya miaka 10 sasa tumekuwa tulichimba dhahabu na madini mengine.
Kwa...
Ni jambo la hatari sana kufikia hatua wananchi wanashindwa kuiamini serikali iliyopo madarakani,na hii sasa inaonesha kuzoeleka katika nchi ya Tanzania ambapo sio vyepesi kuamini kinachoelezwa kwa...
Nimealikwa Star TV Tuongee Asubuhi kesho tar 13/03/2012 saa moja kasoro robo na Bw. Jacob Markus ambapo tutaongelea Utepe Mweupe (white ribbon) ... mambo ya Uzazi Salama, moja kati ya maeneo yangu...
Kataya kiwiri ni moja ya kata iliyopo mkoani mbeya wirayani Rungwe tangu tupate uhuru ilikuwa chini ya ccm mpaka siku ambayo diwani wake Mwankenja alipo uwawa .Kumekuwa na uchaguzi mdogo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.