Watanzania ni wazuri sana wa kuangalia filamu hasa zile za kigeni na hata pale ambapo lugha inakuwa haipandi tumekuwa tukitumbukiza maneno yetu wenyewe na kufanana kabisa kile kilichomo katika...
Pinda amekamilisha mkutano na waandishi wa habari hivi punde na meseji ya kubwa kwa madaktari ni kuwaambia kuwa serikali haiwezekani kushinikizwa na madaktari na kuwafukuza mawaziri Mponda na...
Kituo cha itv leo kimeripoti mwandishi wake kunusurika kupigwa na wafuasi wa cuf wakati wakichukua matukio katika mapokezi ya pr. Lipumba na kulazimika kuondoka mahali hapo
je hasira hizi za wana...
NI kitu ambacho tunaweza fikiria kuwa hakiwezi tokea, lakini je kikitokea?
Tujitahadhari, tusipeleke mipasho kwenye taaluma na mbaya zaidi UWONGO, vinaweza sababisha hasira zisizo na sababu.
Viongozi wa Chadema wamekata rufaa NEC kupinga suala la uraia wenye utata wa mgombea wa ccm sioi sumari.
Hakuna ubishi maamuzi yaliyofanyika ni ya kibabe tu wa chama tawala katika kuhalalisha...
Leo CDM wakiwa Tengeru ktk Viwanja kando ya barabara, CCM walikuwa Usa River na bahati mbaya nao walikuwa na watu wengi toka nje ya Arumeru.Baada ya mkutano ilibidi magari mengi yaanze rudisha...
Akiwa rais yeye ndo kawaleta wazungu wa maua,sasa atamshaurije jk kurejesha mashamba kama si anatudanganya na 2meshawazoea wakati wa kampeni? Mkapa tulia,ile zama zako za kutudanganya zishapita
Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza...
Katika mazingira yaku tatanisha ( utani)mwingulu alijikuta akimwambia mke wa mgombea wa CCM kuwa ni mrembo wa kuvutia, na ikumbukwe sifa za huyu jamaa kule igunga kwa upendo na umoja SIOI chunga...
katika uchunguzi wangu binafsi nimegundua kuwa mzee mkapa amefikia kwenye hotel ambayo haijaunganishwa kwenye ''gridi ya maji'' ya taifa.hapa namaanisha huo mtaa ambao viongozi kadhaa wamefikia...
Mimi kama walivyo watanzania wengine nilijongea kwenye kiwanja cha mpira USA ambapo kulikuwa una uzindizi wa kampeni wa chama choa.
Kampeni ziliudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba hayo...
Unafagilia CCM na kusagia vyama vingine,Juzi taarifa ya uzinduzi Chadema mliifanya ya tano tena mkatangaza kwa ufupi sana,ngoja tuone ya CCM mtasemaje leo...
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma wameomba kukutana na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Prof Ibrahimu Lipumba ili kujadili kuyumba kwa uchumi wa taifa na kulitafutia ufumbuzi suala hilo...
Tanzania sio maskini ila watanzania ni maskini! Watanzania ni maskini 100% kwa sababu ni wavivu wa kuwaza, watanzania wengi tumewapa viongozi wetu jukumu la kuwaza kwa niaba yetu, tunayaamini...
NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV.
NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAHAKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS...
Wakuu ilikuwa siku nyingi nikijiuliza hivi hawa watu wanaojiita wazee kama sio viraza wanaongozwa na nani, kumbe mwizi na mtuhumiwa ufisadi ile sakata la sukari na sasa insu nzima ya UDA ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.