Kesi ya Hamad Rashid against CUF imeishaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Hamad Rashid against CUF imeishaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Mar 13, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kumbukumbu zangu ni kwamba leo ilikuwa iwe maamuzi ya kesi ya Hamad Rashid na wenzake kupinga maamuzi ya kufukuzwa uanachama.

  Yeye mwenyewe kule jimboni kwake aliahidi kwamba baada ya maamuzi ya Mahakama yaani kuanzia leo anafikiria kuanza safari ya kuiua CUF na angeanzia Mwanza. Wafuasi wake wakapiga kele kuwa wanataka aanzie hukohuko visiwani.

  Je, haluna mwanaJF aliye karibu na korido za Mahakama atujuze yaliyojiri.

  Nawatumainia.
   
Loading...