Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng`wanakidiku, Mar 9, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kiduku hiki
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  haswa wewe unafanana na kiduku
   
 4. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hiki ni kibwengo au? education? experience. enzi Hitler alikuwa anajua sehemu za kuwapeleka.
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kongwe na hawakurupuki ktk maamuzi. We angalia mchakao wa kusuluhisha hili suala la madakitari, ni suala ambalo limefanywa kwa umakini na linaendelea kutatuliwa kwa umakini. Sasa hao kenya tangu waweke upinzani;
  1. Mwaikibaki na Raila waligombana
  2. Raila alijilimbikizia mali kwa kuchukua mikataba ya mafuta toka Arabuni,
  3. Mwaka 2007 wakenya wakachinjana kwa sababu ya uchu wa madaraka wa hao wapinzani
  4. Na sasa hawataki kuwasikiliza wanachi wanyonge waliowapatia kura na wameamua kuwafukuza kazi!
  Je kumfukuza mtu au kumfuta mtu kazi ni suluhisho? si ni ujinga? Kwani serikali ya CCM wasingeweza kuwafukuza ma Dr? Mbona wameamua kutumia njia ya mahakama wakati huo wanaendelea na mazungumuzo! Msiniite kiduku, naomba mtafakari!!
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukweli utajitenga, sioni haja ya kuupigia upatu upinzani. Wanamuda mrefu wa kujifunza!!! Ni labda baada ya 50 years ndiyo wanaweza kuwa na sifa za kuongoza nchi.
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  kweli hiki ni kuduku.
  T2015CDM
  Chadema mwendo mdundo. Sisiemu preshaa inapanda inashuka
   
 8. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukamsihi baba na mama yako labda na mpenzi wako kama atakusikiliza
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uko sawa kabisa ccm kwa ukongwe wake kinatakiwa kuwapitisha wakonge ili wagombee kwa sababu kwa akili yako ukongwe ndiyo dawa.

  ccm impitishe kingunge ngombale mwiru kuwa mgombea urais,waziri mkuu awe peter kisumo.

  mawaziri wastaafu wote jumuiya ya afrika mashariki kwa sababu hawa machekbob walioishika ccm na upinzani hawafai.
   
 10. Imany John

  Imany John Verified User

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Siasa za Tanzania haziongozwi kwa upepo wa wakenya unapepea kuelekea wapi.
   
 11. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hahahaha! :third:
   
 12. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM ipo juu, hata wabishi hilo mnalijua! Haikurupuki ktk maamuzi!
   
 13. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa lakini tuna lakujifunza kutoka kwa hao wenzetu, maana wapinzani wanapokuwa wanalilia kuondoa chama tawala wana mbwembwe nyingi kweli, lakini wakipta tu madaraka wanaingia kwenye uhalisia wa uongozi na hapo ndipo utakapo shuhudia urafi na ukorofi wao.
   
 14. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu KIDUKU>
  Kwetu tuna methali isemayo MALWA NENJU YAGO Sasa ndio wewe ndugu.
  Maana isiyo halisi ni Pombe na nyumba yake. Wewe na ccm mko hivyo mmebunguliwa uwezo wa kufikiri.
   
 15. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh! sawa bwana, Ila ukweli ndiyo huo, sina haja ya kukuelewesha zaidi ya hapo, CDM ni wababe na wamekaa kishari shari, mfano zitto mara wagombane na mwenyekiti mara na Dr Slaa, mara watofautiane na kuweka hadharani migogoro yao, ina maana wakipewa nchi itakuwa kama kenya, Mwakibaki a.k.a Dr Slaa anaweza kung'ang'ania madaraka na zitto a.k.a Raila anaweza kutaka kuwa rais, na ndipo utakapoona nchi haiwezai kusonga mbele
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ama kweli we ni kiduku! Ghana, Zambia, Mauritius na Cape Verde siasa zao zikoje na maendeleo yao yakoje? Kenya unakokusema umewahi hata kufika ukaona walichokifanya tangu 2007, au unajiropokea tu b.w.e.g.e wee?
   
 17. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtoboasiri, sikiliza! Ukilinganisha upiznani wa hizo nchi ni stable, hwezi kulinganisha na upinzani wa TZ ambao wamejaa njaa (mfano David Kafulila alikuwa na haja gani ya kupiga magoti na kulia ili asamehewe?) na CHADEMA ni chama kilicho jaa migogoro ya hapa na pale, labda kikiundwa chama kingine chenye mlengo na dhamira ya dhati ya kusikiliza matatizo ya watanzania walio wengi na kisiwe na migogoro
   
 18. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  huu wimbo mbuzi wanaweza kucheza!!!!!!!!!
   
 19. bepari1

  bepari1 Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Bwana ng'wana kiduku mi kusema ukweli sijaelewa nn hasa lengo la mada yako,unasihi,elimisha,lazimisha au ndo kampeni? Nadhani ungeonekana wa maana kama ungajaribu kuona mapungufu ya ccm pia na kutoa suluhisho kuliko kukurupuka kama mtu aliyefumaniwa na kuanaza kuongelea cdm tu.jipange kijana.
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kiwia kesha shinda kesi ya uchaguzi ilemela taarifa unazo?
   
Loading...