Uongozi na siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi na siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ray mark, Feb 8, 2012.

 1. ray mark

  ray mark Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Uongozi na siasa
  Viongozi wa utangulizi ni watu ambao wako tayari kujitupa wenyewe, bila kujali hatari yote inayoweza kujitokeza mbele yao, wakisonga mbele ili kugundua na kufikia malengo ya kihuduma, “wakiyasahau yaliyonyuma, wakiyachuchulilia yaliyo mbele.”
  Viongozi hawa huwa na moyo na maono, na wamejitoa kuyatimiza.
  kwa lugha rahisi ninge penda kusema viongozi hawa ni wazalendo na ndio viongozi tunao wahitaji kwaajili ya Taifa la leo na si kesho, kwa sababu kesho kamwe haipo ipo jana na leo ambayo ndiyo tupo nayo.
  hata vijana ningependa kuwaita vijana wa taifa la leo na si kesho, kesho never comes ever.[/h]
   
 2. ray mark

  ray mark Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uongozi wa nchi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania umechanganyika na siasa safi na siasa chafu inayoongozwa na baadhi ya wanasiasa wenye nia nzuri na nchi. Lakini kwa bahati mbaya uongozi umemezwa na sera za kisiasa ambazo hazitofautinani kabisa na meli kubwa inayokwenda masafa marefu huki ikiwa ina tundu lipitishalo matone machache sana ya maji huku yakipuuzwa kuwa hayana uwezo wa kuzamisha meli hiyo
   
Loading...