Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,571
Wanabodi, niko ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kuwa update huu mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa Darisalama.
Ukumbi umeshiba, viongozi wengi wameshawasili, JK anatarajiwa kuingia any moment from now!.
Karibuni.
Update1.
Rais Jakaya Kikwete ameishaingia na sasa anahutubia na kulikuwa hakuna any bitting around the bush ameanza moja kwa moja kuhit the bull "Mgomo wa Madaktari"!
Update2.
Rais JK, amemaliza kuhutubia. Amewashitaki madaktari kwa Wazee wa Darisalama. Amekiri madai ya madaktari ni ya msingi lakini mazungumzo yanaendelea. Hakuzungumza kama atawatimua Waziri wa Afya na Naibu wake. Amekiri hali ya kutoaminiana ambayo ataishughulikia na kumalizia kuwa amewaomba madaktari kuwa huu ndio mgomo wa mwisho!.
My Take:
JK did what he is really good at, using his convincing hypnotic charm powers ( a good sense of humour), average Tanzanians wamerally behind their president wamerudisha imani kwa rais wao. Hii ni plus kwa JK! na hata ikitokea serikali ikishindwa kutekeleza madai yao, hawawezi tena kugoma!.
Baada ya hotuba nikajaribu kusaka sura yoyote ya watu prominent kwenye opposition sikubahatika kuona!.
Japo mgomo umemalizika rasmi, hatuwezi wote kunyamaza kimya as if nothing happened. Damu za watu zimemwagika!, Watu wamekufa!. There must be someone resiponsible ambaye should be held accoutable hata liable for such loss of life. Naandaa kipindi changu maalum cha redio na TV kuhusu mgomo huu. Prog. ikiwa tayari nitawaupdate muiangalie mnipe opinion yenu nirudi kwenye active media au ni proceed kwenye petition niwe advocate tukutane na wahusika wa aina hii mahakamani!.
Asanteni
Pasco.