Jana nilipitia kwenye sub station ya Njiro Arusha. Kwa mshangao (maana sijasoma popote kama Symbion wanafunga mitambo mingine ya kufua umeme Arusha) nikakuta mitambo ipatayo ishirini yenye nembo...
Kama ni kweli kikundi cha majambazi/wezi kiliweza kuingia kwenye hoteli yenye hadhi kubwa kama Nashera na kuweza kumuibia Naibu Waziri maswali mengi yameachwa juu ya hoteli hiyo. Maelezo yote...
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi na ubunge wa mh. Tundu Lissu imenguruma tena leo baada ya kuahirishwa jumatatu 12/3/2012.Jaji MZUNA alitupilia mbali madai 7 ya walalamikaji(selema na...
angalizo ndugu nape yale yote uliyoyasema kujivua gamba ndani ya siku tisi kufukuzwa uanachama ndani ya chama mbona bado wapo haya tunakusubiri ndani ya arumeru ukaanze kampeni unahaabisha chama...
Magamba wanahila nyingi sana katika chaguzi zote zinazofanyika wakati huu,uwe wa udiwani au wabunge.chadema tuna wanachuo wengi sana waliojiandikisha katika daftari la kupiga kura.tunawaomba wote...
Wadau leo taarifa ya habari ya TBC imenichefua sana, wamemwonyesha mgombea wa ubunge Arumeru mashariki kwa tiketi ya Chadema Joshua Nassari akikosa watu kwenye mikutano yake baada ya kuwa...
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
Haya maneno ya Mrema hayo wakati wa ufunguzi wa kampeni.
TLP wazindua kampeni
Mwenyekiti wa (TLP) Augustine Mrema amewaomba wakazi wa Arumeru Mashariki kumpa zawadi kwa kumchagua kuwa mbunge wa...
Sio utani ni kweli mwalimu mwenzangu kamuuliza mtoto wa chekechea ukiwa mkubwa unapenda kuwa nani mf; daktari, mwalimu, mcheza mpira nk cha ajabu mwanafunzi kamjibu anataka kuwa FISADI.
Katika...
JUMANNE, 13 MACHI 2012 06:51 BENJAMIN MASESE NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete,
Amesema mgomo wa madaktari ulikuwa batili, huku akiahidi kufanya mabadiliko ya...
Arumeru imeonyesha mabadilko makubwa kwenye siasa za Tanzania, wananchi baada ya kuhamasishwa wameamua kujitoa kwa kidogo na kingi walicho nacho ili kupeleka mtetezi wao Bwn Joshua Nasari...
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini...
Leo nilipoenda mhimbili hospitali kumwona ngugu yangu mgonjwa nilikutana na bibi mmoja akitokwa machozi na mama mmoja alipotaka kujua kulikoni alionesha cheti cha msamaha wa matibabu na kulalamika...
...ulipata kura 4 kati ya 2000+! This should tell you something! No wonder unatumia nguvu kutawala maana unajua kuwa uliwekwa na NEC na sio kwa kura halali.
Vicent Nyerere kapasua jipu la muda mrefu lililonyamaziwa pengine na familia juu ya Rais wa awamu ya 3 kuhusika na kifo cha Mwalimu Nyerere,je Mtoto wa baba wa taifa Bw makongoro ambaye yupo...
wadau wapo watanzania wengi sana wanafanya mambo makubwa sana na kugundua mambo ambayo yangeweza kusaidia taifa letu katika nyanja mbalimbali lakini hakuna anayewatambua.
mfano ni huyu ndugu yetu...