Hawa TBC VIPI?

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Wadau leo taarifa ya habari ya TBC imenichefua sana, wamemwonyesha mgombea wa ubunge Arumeru mashariki kwa tiketi ya Chadema Joshua Nassari akikosa watu kwenye mikutano yake baada ya kuwa amepangiwa mikutano kwenye shule ambapo wanafunzi walikuwa wanasoma. Ajabu ni kuwa ITV wamemwonyesha akiwa na nyomi...
My Take: Hata kama ni hujuma ndo iwe kwa style ile? si waache tu kiripoti?
Magamba bhana.
 
Kaka hamna haja ya kupanic kwenye ukweli chadema tukubali ukweli, sio kila siku tutaona picha zilizojaza watu tukubali mpambano ni mgumu kaka.
Halafu kwani campaign managers hawakujua lile ni eneo la shule wabadilishe ratiba? tuwe makini ndugu.
 
Back
Top Bottom